Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Wapambane na khali yao, Slaa alidondoka akavunja mkono ulisikia mtu akimkebehi wala kumdhihaki? unadhani angesingizia serikali na vyombo chunguzi vikafanya yao angebaki salama? tungejua mengine mengi zaidi ya yale tuloyasikia. Mengine ni ya kujitakia tu.
 
Na akavunjika Mguu tu bila ya kupata majeraha sehemu nyingine ya Mwili eti ?..
Na hata mguu anaigiza, ripoti ya daktari inaonesha hajavunjika wala kuteguka, ni maumivu ya kawaida tu kwenye ankle baada ya kuukanyagia vibaya.
JamiiForums1122806939.jpg
 
Mwenye kiti Mbowe angesema tu ukweli kuwa kateleza wakati anapanda ngazi kwa bahati mbaya bila shaka viongozi wote wangemfariji kwa pole na pasingekuwa na mtafaruku wa sintofahamu hii au mnasemaje wadau
Kwanini unataka aseme uongo? Watu wakushambulie halafu useme umeanguka
 
Kama aliangukia mguu![emoji41]

Nna aamini CCM mngekuwa na hakika ya yote haya ,yangeshawekwa hadharani mapema na sio blah blah za kina Lijualikali /Msukuma na kiongozi wao Mkuu Subwoofer.
 
Nna aamini CCM mngekuwa na hakika ya yote haya ,yangeshawekwa hadharani mapema na sio blah blah za kina Lijualikali /Msukuma na kiongozi wao Mkuu Subwoofer.
Sasa kwani haijawekwa sawa?
Unataka iwekwe sawa kivipi?
 
Sasa kwani haijawekwa sawa?
Unataka iwekwe sawa kivipi?

Tukio la Mh Lissu tuliona Matokeo yake ,Arusha Soweto kule waliuwawa Binadamu.Wapo Watu walijiapiza kuwa wanao ushahidi mpaka Mbinguni ,matokeo ya maapizo yale tuna yajua.So fanyeni tunavyo weza Mkuu.
 
Mwenyekiti Mbowe angesema tu ukweli kuwa kateleza wakati anapanda ngazi kwa bahati mbaya bila shaka viongozi wote wangemfariji kwa pole na pasingekuwa na mtafaruku wa sintofahamu hii au mnasemaje wadau
Naunga mkono
 
Kumbuka Mbowe na Zito walisema mwaka wa 2020 ni mwaka wa hekeka kwa serikari, kwamba watafanya mambo makubwa ya kuitikisa serikari,
Bahati mbaya mwaka unaisha sasa wengine inabidi watafute lolote bila kujali madhala yake, wengine wanatengeneza vi clip wanapeleka BBC na balozi za uingeleza kwa kujificha
Ila hali ndo hivyo haiko upandw wao sasa ni kutapatapa tu.
Kuna alisema ikifika 2020 atakuwa ameua upinzani. Inawezekana anafanya haya baada ya kutofanikiwa malengo Yake
 
Tukio la Mh Lissu tuliona Matokeo yake ,Arusha Soweto kule waliuwawa Binadamu.Wapo Watu walijiapiza kuwa wanao ushahidi mpaka Mbinguni ,matokeo ya maapizo yale tuna yajua.So fanyeni tunavyo weza Mkuu.
Hata uko kwenu wanaapa. Ni binadamu katika kuhalalisha yao.
 
Watu watatu wakushambulie bila kukugusa kichwa ila mguu mmoja tu, utawaeleza hayo wale wasio tumia akili na wakupumbazwa kirahisi. Lissu alitupumbaza anaogopa kurudi lakini lazima aendelee na ubunge, wewe unakuja na hilo bila kujua unachafua taifa unalotaka kuongoza, acheni kutufanya wote ni mafala, wapumbaze wajinga wenu pekee. Walevi ni waongo na hawafai kuongoza hata mtaa.
 
Umeshaambiwa, leo lilikua kumkomoa ili asifanye kampeni.

Mpaka ushikiwe fimbo ndo uelewe?
 
Back
Top Bottom