BONGE LA BWANA
Senior Member
- Apr 14, 2015
- 199
- 168
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakuwmbia mke wa ndoa wa Mbowe alivyo mzuri ukiiweka picha na ya Joyce Mukya sura ya Mukya takataka Hadi mtu unajiuliza hivi wanaume wanataka Nini hasa kwa wanawake?
Inaonekana Joyce Mkuya ni mtamu sana kuliko mke wa ndoa Lilian Mbowe, maana kila janga lazima ahusishweKwahiyo Mbowe kushindwa kutamka maneno sawasawa ndicho kipimo cha ulevi? Na kama alishindwa kwa kuwa alipigwa je?
Pia hicho kipimo walichotumia kumpima na kugundua kuwa alikuwa amelewa chakari ni kipi?
Nikiwaita Jeshi la wapumbavu nitakuwa nimekosea? Jibuni wenyewe kama hamustahili kuitwa "wapumbavu"
Nyie ni watu wazima hivyo ili mheshimiwe ni lazima muje na kitu kinachoeleweka.
Bwana mdogo acha mahaba haya kwa Mbowe! Najua unampenda sana lakini kwenye hili hapana.wakati unakuja utatamani urudishe mda nyuma ila haitawezekana nawahurumia polisi wapenda najua sio wote wanaopenda kudanganya watu
Hizi CCTV si zipo kwa Mbowe azitoe awaonyeshee umma UKWELI...
Mnaendelea na uchunguzi wa kutafuta ukweli wa tukio?? Ina maana mliyoyaongea humu ni hisia na au mmeelekezwa?
Hana access maafisa wa serikali ndiyo wenye accessCctv ziko ndani kwako unakosaje access au amewekewa Za SERIKALI NDANI KWAKE
Mbowe ameangukia ndani kwake Cctv za serikali haziwezi fungwa ndani kwa mtu kama zipo ni za Mbowe mwenyewe AZITOE TUKATE MZIZI WA FITINAHujui hata CCTV ni nini kwa maelezo haya. Hebu acha wanaofahamu haya mambo wataongea.
Kosa lake ni kudanganya ulimwengu kwamba kashambuliwa!Its time for Mbowe to step down kama kiongozi,watu wamepiga kelele wee ashuke lakini kawa jeuri ona sasa aibu hii..sidhani kama wanachadema watamsamehe...by the way,mimi sioni cha ajabu alichokifanya..a man should have social life..kama ni kunywa ulabu kupindukia apatiwe msaada arudi kwenye mstari...watu wanapona alcoholisim na wanarudi kwenye shughuli zao...
Hata Tundu Lissu alikuwa amelewa chakariii akajipiga marisasi.
CCTV zifungwe ndani kwako alafu usiwe na access nazo ... ndugu yangu serikali haimfungii mtu CCTV ndani kwake nikuingilia privacyHana access maafisa wa serikali ndiyo wenye access
Mwambie Mbowe aache sanaaa na ulevi oktoba imekaribiaKwahiyo Mbowe kushindwa kutamka maneno sawasawa ndicho kipimo cha ulevi? Na kama alishindwa kwa kuwa alipigwa je?
Pia hicho kipimo walichotumia kumpima na kugundua kuwa alikuwa amelewa chakari ni kipi?
Nikiwaita Jeshi la wapumbavu nitakuwa nimekosea? Jibuni wenyewe kama hamustahili kuitwa "wapumbavu"
Nyie ni watu wazima hivyo ili mheshimiwe ni lazima muje na kitu kinachoeleweka.
Mmekazana CCTV na mtu kaangukia ndani kwakeEasy,, kwanini wanatumia nguvu kubwa sana.
Wangeangalia tu CCTV wangeona kila kitu..
Ni kama dewji alivyopotea tu, au Roma . Hauwezi kusikia kelele
Mtu anasilaha akikuambia kimya, unaufyata vizuri tuu..
Sasa waache utoto , weka CCTV itaonesha kila kitu, sio ku run around the bush..