Unajua kwamba kudanganya kwa Mbowe inadhalilika nchi nzima?Swala hapa ni kudanganya umma kuwa alivamiwa,which everyone could have done that, first to protect his family and second to protect his image..ukiniquote uniambie what could you have done in this scenario??? otherwise kuchepuka wanaume wengi wanachepuka, wengine mmecomment kwenye hii thread na mnachepuka hata mkulu wenu wa pale magogoni anachepuka tena yeye its even worse kamzalisha mke wa mtu!!!!!
Unauliza cctv bongo?,,hizo vitu hazipoCCTV CAMERA FOOTAGE ZINASEMAJE??
Nakuwmbia mke wa ndoa wa Mbowe alivyo mzuri ukiiweka picha na ya Joyce Mukya sura ya Mukya takataka Hadi mtu unajiuliza hivi wanaume wanataka Nini hasa kwa wanawake?
Hahahha.. Inaonekana anawapandia sana hapo chademaAtakuja kukupandia
Mambo mawili yasio tegemeana,kulewa chakari na kushambuliwa,Haya Sasa mambo wazi kabisa ni aibu hii kwa chadema kusema uongo sijui wataficha wapi sura zao chadema [emoji23][emoji1787][emoji2960]
[emoji848][emoji3][emoji44][emoji23][emoji23][emoji23]imepinduliwa meza
Aisee hata mimi nashangaa.
Inawezekana ikawa hivyo....Huyu Joyce Mukya ni nani ,hawara?
Itakuwa aliwasiliana nao woteAya ya PILI ya Taarifa ya Misime inamtaja mtu anaeitwa JOYCE MUKYA wakati Aya ya Tatu ya taarifa hiyo hiyo inamtaja mtu anaeitwa JOYCE NKYA, so which is which wakuu
Nilihisi hili tangu mapema na Mbowe ameshindwa kujua kuwa yupo awamu ipi.Ameingia katika mtego na character assasination imechukua mkondo wake.Kitakachomsaidia Mbowe upungufu wa imani wanachi waliojenga kwa Polisi katika awamu hii,atapata some sympathy.
π π π πItakuwa aliwasiliana nao wote
Hatutaki pornography.CCTV CAMERA FOOTAGE ZINASEMAJE??
Una uhakika gani majirani walikuwepo?Kwa hiyo ulitaka waseme kapigwa hata hajapigwa. Kama unahakika kapigwa unaweza kuthibitishia umma pia. Maana hao majirani hawawezi kudanganya.