Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

Swala hapa ni kudanganya umma kuwa alivamiwa,which everyone could have done that, first to protect his family and second to protect his image..ukiniquote uniambie what could you have done in this scenario??? otherwise kuchepuka wanaume wengi wanachepuka, wengine mmecomment kwenye hii thread na mnachepuka hata mkulu wenu wa pale magogoni anachepuka tena yeye its even worse kamzalisha mke wa mtu!!!!!
Unajua kwamba kudanganya kwa Mbowe inadhalilika nchi nzima?

Sent from my SM-T585 using JamiiForums mobile app
 
Hii taarifa niya mtaani.na aliyeiandaa kwenye swala la propaganda bado uwezo wake uko chini sana.na kuiamini uwe una akili pungufu.wanasema wamefanya uchunguzi wa kina na wamejiridhisha mbowe alikua kalewa chakari kwahiyo hapo wanataka tuamini mbowe aliumia mwenyewe.

Sasa hiyo taarifa inaonyesha nikama wameshahitimisha uchunguzi wao alafu tena mwishoni wanasema wanaendelea na uchunguzi nakutoa rai kwa mtu yoyote mwenye taarifa za ilo tukio wakati huo huo wanasema kelele alizopiga mbowe hata majirani hawakuzisikia.Sasa wanaendelea kuchunguza nini.Mimi sio mwerevu ila hii taarifa ni ubabaishaji full.
 
Nakuwmbia mke wa ndoa wa Mbowe alivyo mzuri ukiiweka picha na ya Joyce Mukya sura ya Mukya takataka Hadi mtu unajiuliza hivi wanaume wanataka Nini hasa kwa wanawake?
20200612_180414.jpg


Iijui Mbowe anakosa nini kwa dada Lillian, Ona alivyo mtamu.
 
Haya Sasa mambo wazi kabisa ni aibu hii kwa chadema kusema uongo sijui wataficha wapi sura zao chadema [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Mambo mawili yasio tegemeana,kulewa chakari na kushambuliwa,
Kulewa chakari haimanishi kwamba hakushambuliwa,
Wala Mbowe sio wa kwanza kulewa chakali,Charles Kitwanga,alilewa chakali akaingia bungeni,
Sisi hatutaki kujua Mbowe,alikuwa kalewa au la,tuambieni,
Alishambuliwa,au alijashambulia,
Maana kwa mujibu wa intelijensia ya polisi,Mtu anaweza kujiteka(abdul nondo),na risasi inaweza kwenda juu,ikarudi chini,ikakata kona na kumpiga mtu(rejea kifo cha akwilina)
 
IMG-20200611-WA0032.jpg

Chadema imejengwa katika misingi ya ghilba na uongo,ndio maana kuna kiongozi wake amekiri hadhari kusema uongo ili tu kutimiza malengo ya kisiasa.

Kwa upuuzi alioufanya mbowe,kama chadema kingekua ni chama makini,muda huu ameshafukuzwa.

Ni aibu kwa chama,aibu kwa taifa na dhambi kwa Mungu kwa kiongozi kama mbowe kuzini,tena anatafuna mke wa mtu
 
Nilihisi hili tangu mapema na Mbowe ameshindwa kujua kuwa yupo awamu ipi.Ameingia katika mtego na character assasination imechukua mkondo wake.Kitakachomsaidia Mbowe upungufu wa imani wanachi waliojenga kwa Polisi katika awamu hii,atapata some sympathy.

Slaa aliwekewa kinasa sauti chini ya kitanda na baada ya kukigundua hakuwa tena Slaa tuliyekuwa tumemzoea,taken for ransom.
 
Atoke hadharani James mbowe
Atujibu , kwanini baba yake hakumjurisha kisha kumsindikiza bb yke hosp ..inamaana haaminiki yy na mama yake kiasi cha kimada kupewa taarifa na kumpereka bb yke hosp?

Atoke hadharani mke wa ndoa wa mbowe... aseme km alipigiwa sim kujulishwa kuumia kwa mbowe usiku huo

Atoke hadharani.. kimada wa mbowe R. Nkya .. akanushe km haku.pereka mbowe hosp.
 
Hii ndiyo Tanzania
Baada ya uchunguzi atashitakiwa kwa kulidanganya jeshi la polisi na kutoa taarifa za uongo
 
Vyovyote itakavyokuwa, kila mtu atalipwa kadiri ya uongo aliosema
 
Kwa hiyo ulitaka waseme kapigwa hata hajapigwa. Kama unahakika kapigwa unaweza kuthibitishia umma pia. Maana hao majirani hawawezi kudanganya.
Una uhakika gani majirani walikuwepo?
Mtu kama Kitwanga alie timuliwa kazi kwa ulevi anaweza sikia kishindo nje wakati amesha piga covid?? Hebu acheni hizo bwana
 
Back
Top Bottom