Jeshi la polisi halina mamlaka ya kuzuia maandamano D9

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Jeshi la polisi halina mamlaka ya kuzuia maandamano D9 pia kwa mauwaji ya halaiki waliyo yatekeleza halina uhalali wa kuingia barabarani kulinda raia.

Sio mamlaka ya jeshi la polisi kuzuia maandamano yoyote puuzieni wanaojitikwa mamlaka hayo kinyume cha sheria.
 
Polisi atakayejitokeza kuzuia maandamano ya amani ya 9D aandike kabisa na wosia kwa familia yake.

Tarehe 9D siyo siku ya utani.

Wakumbusheni hao polisi kuwa maandamano yatakuwa yanasindikizwa na kaka wa Polepole.
 
Jeshi la polisi halina mamlaka ya kuzuia maandamano D9 pia kwa mauwaji ya halaiki waliyo yatekeleza halina uhalali wa kuingia barabarani kulinda raia.

Sio mamlaka ya jeshi la polisi kuzuia maandamano yoyote puuzieni wanaojitikwa mamlaka hayo kinyume cha sheria.
Lingekuwa jambo la kheri sana uwe mstari wa mbele wewe na familia yako kwenye hayo unayoyahamasisha. Inatakiwa utoe kauli ya wingi ibaki kwamba hawana mamlaka ya kukuzuia wewe kufanya hicho unachokifikiria.
Usijifanye unafikiria na kutoa taarifa kwa niaba ya wengine. Hakuna unayemwakilisha.

Asante
 
Wewe unakuuma nini,kwa akili ya kawaida isiyohitaji Shule we si una unasaba na huyo dictator iddi amin mama Suluhu Hassan
 
Ongea kwa niaba yako, huna mamlaka ya kuongea kwa niaba ya wengine. Ukiona unatanguliza shule ina maana u ajishuku.
 
Jeshi la polisi halina mamlaka ya kuzuia maandamano D9 pia kwa mauwaji ya halaiki waliyo yatekeleza halina uhalali wa kuingia barabarani kulinda raia.

Sio mamlaka ya jeshi la polisi kuzuia maandamano yoyote puuzieni wanaojitikwa mamlaka hayo kinyume cha sheria.
Tumekusikia Mwanasheria Mkuu wa Serikali tutafuata maelekezo yako.🙏
 
Kikiwaramba huko barabarani ndo mtajua wana mamlaka au hawana. I'm just stating the obvious.
 
Kwanza maandamano yakiruhusiwa huwa yanakosa vibe,yanayplenga kudai haki lazima yaharamishwe yapate amsha amsha ndiyo dunia nzima ina react.
 
Jeshi la polisi kuwakamata watu waliopanga maandamano D9 ni uhalifu na nikinyume cha sheria sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe.
 
Back
Top Bottom