King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Haiki haiombwi ,haki inadaiwa kinguvu...Jeshi la polisi kuwakamata watu waliopanga maandamano D9 ni uhalifu na nikinyume cha sheria sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe.
Amani haipatikani bali kwa ncha ya upanga.