Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Lingekuwa jambo la kheri sana uwe mstari wa mbele wewe na familia yako kwenye hayo unayoyahamasisha. Inatakiwa utoe kauli ya wingi ibaki kwamba hawana mamlaka ya kukuzuia wewe kufanya hicho unachokifikiria.Jeshi la polisi halina mamlaka ya kuzuia maandamano D9 pia kwa mauwaji ya halaiki waliyo yatekeleza halina uhalali wa kuingia barabarani kulinda raia.
Sio mamlaka ya jeshi la polisi kuzuia maandamano yoyote puuzieni wanaojitikwa mamlaka hayo kinyume cha sheria.
Wewe unakuuma nini,kwa akili ya kawaida isiyohitaji Shule we si una unasaba na huyo dictator iddi amin mama Suluhu HassanLingekuwa jambo la kheri sana uwe mstari wa mbele wewe na familia yako kwenye hayo unayoyahamasisha. Inatakiwa utoe kauli ya wingi ibaki kwamba hawana mamlaka ya kukuzuia wewe kufanya hicho unachokifikiria.
Usijifanye unafikiria na kutoa taarifa kwa niaba ya wengine. Hakuna unayemwakilisha.
Asante
Ongea kwa niaba yako, huna mamlaka ya kuongea kwa niaba ya wengine. Ukiona unatanguliza shule ina maana u ajishuku.Wewe unakuuma nini,kwa akili ya kawaida isiyohitaji Shule we si una unasaba na huyo dictator iddi amin mama Suluhu Hassan
Pumbafu, tutawafurusha huyo dictator wakoOngea kwa niaba yako, huna mamlaka ya kuongea kwa niaba ya wengine. Ukiona unatanguliza shule ina maana u ajishuku.
Tumekusikia Mwanasheria Mkuu wa Serikali tutafuata maelekezo yako.🙏Jeshi la polisi halina mamlaka ya kuzuia maandamano D9 pia kwa mauwaji ya halaiki waliyo yatekeleza halina uhalali wa kuingia barabarani kulinda raia.
Sio mamlaka ya jeshi la polisi kuzuia maandamano yoyote puuzieni wanaojitikwa mamlaka hayo kinyume cha sheria.
Sema nitawafurusha.Pumbafu, tutawafurusha huyo dictator wako
Itakuwa wako wawili ndiyo maana kasema hivyo.😀Sema nitawafurusha.
usiogope tutashinda, hakuna mwenye nguvu kuliko wananchiTumekusikia Mwanasheria Mkuu wa Serikali tutafuata maelekezo yako.🙏
Ni sahihi wakupe nchi yako tu, muda umefika.usiogope tutashinda, hakuna mwenye nguvu kuliko wananchi
Tutamfurusha dictator wenu,iwe mnataka au hamtakiSema nitawafurusha.
Sema nitamfurushaTutamfurusha dictator wenu,iwe mnataka au hamtaki