Jeshi la polisi halina mamlaka ya kuzuia maandamano D9

Jeshi la polisi kuwakamata watu waliopanga maandamano D9 ni uhalifu na nikinyume cha sheria sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe.
Weka nyama mkuu wapi huko kulikofanywa 'crack down'?
 
Call centre ya #D9
Hakikisha unakuwa na namba hizi na unatuma picha na video na kuacha ujumbe
Call centre iko kimataifa hawawezi kuidukua wala kuifikia 🔥
Tupo macho na tunafuatilia
#D9Tunatoka #D9TanganyikaDay
 

Yaani unajiita Genius halafu unawatuma wenzako wakamkate Simba kwa mikono kwa kuwaaminisha kuwa wapo salama? huna tofauti na kibwetere aliye wadanganya wafuasi wake wakaishia kupoteza maisha.
Akili za kuambiwa, changanya na za kwako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…