Jeshi la Polisi huu si mchezo wa watoto, ni janga kwa wazazi

Jeshi la Polisi huu si mchezo wa watoto, ni janga kwa wazazi

Naunga mkono hoja, hii michezo si sahihi kwa watoto mimi binafsi hata bunduki au silaha za bandia huwa siwanunulii watoto.
Michezo hii ndiyo imewafikisha watoto wa marekani kufanya mauaji kwa kuchukua silaha za wazazi wao na kwenda nazo shule "kuzichezea" waone kama kweli zinaua.
 
Airsoft na paintball sio PS,, ni battle simulation guns zenye bb's balls au paintballs guns kama hizo hapo chini,, waweza nunulia mkeo na watoto mcheze nyuma ya nyumba,, ila angalizo vaa mask zinaumiza zikikupigaView attachment 2288939View attachment 2288942View attachment 2288940
Dogo acha kuning'iniza poumbou hapo sofani sebuleni kwa shemeji Yako. Katafute chumba uswaz ujitegemee.

Sasa tuseme dada Yako na watoto wote wamesafiri ukabaki na shemeji Yako tu itakuwaje na haka kapupwe mwezi huu kanavyopuliza.
 
Mhn! Wanawake wanapenda Security huwenda waandaji wanajaribu kutatua shida za wanawake kwa kuwa na walinzi wengi (just a joke).

kiukweli binafsi huwa simwelewi hata mzazi anayemnunulia mwanaye pastola ya kuchezea hivi tunadhamilia watoto wawe walinzi wa watoto wenzao au wawe majambazi? na wazazi tulivyo wazembe tutakuwa tunakenua meno! sasa inapotokea mtoto wako wa kike kalengwa na wa kiume baada ya miaka michache hamalizi shule kapigwa mimba! vitu vingine vinanafasi na tafsiri ngumu kwenye ulimwengu wa Roho si kila kitu kiko sahihi.

Ama haitoshi ikitokea je watu na inawezekana wasiwe waandaaji wakinuizia kuwa watu watoto wote waliolengwa risasi na watolewe kama sadaka kwa biashara yangu. kwa hiyo eneo la kulengwa linakuwa madhabahu na wanaolenga ndio makuhani wa kupeleka sadaka kuzimu na hivi mmesema yanafanyika wapi? kulikuwa na dimbwi la kuoshea nini? na nini ni alama ya nini?

Kazi ipo siharibu biashara za watu na kuwanyima watoto wetu wapendwa raha kwa sasa ila kama mjomba anavyosema "tusisahau vibwaya ili tuje tucheze ngoma yetu ya kishenzi"!
Jikomboe kifikra na kimawazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sioni ubaya wa kumfundisha mtoto kulenga shabaha.

Hiyo ya kusema atachukua bunduki ya mzazi wake hapo sasa kosa sio la mtoto ni la mzazi kwa kuacha bunduki mahali ambapo si salama.

Bunduki ikiachwa mahali ambapo si salama sio mtoto tu hata mtu mzima anaweza kuichukua na kufanyia uhalifu.

Halafu hao watoto ni wa umri gani, wasiojua kua hii ni halisi na hii ni fake, nadhani hata kwenye mafunzo watafundishwa na kuonywa kutumia bunduki halisi.

Wawafundishe tu aisee, sioni ubaya kwenye hilo. Wakimaliza hilo wazazi wawapeleke watoto wajifunze mapigano ya ana kwa ana.
 
hii ya shabaha ,nadhani iangaliwe upya. watt wetu wetu wa siku hz hawa,wasije wakatulenga bullets majumbani.kuna kupitiwa unajikuta umehifadhi silaha with little Care!!
 
Sasa hizo ndio sababu gani zisizo na mashiko

Watanzania tupo nyuma sana

Ulizani bunduki zinawekwa jikoni au kabatini
 
Binafsi sioni ubaya wa kumfundisha mtoto kulenga shabaha.

Hiyo ya kusema atachukua bunduki ya mzazi wake hapo sasa kosa sio la mtoto ni la mzazi kwa kuacha bunduki mahali ambapo si salama.

Bunduki ikiachwa mahali ambapo si salama sio mtoto tu hata mtu mzima anaweza kuichukua na kufanyia uhalifu.

Halafu hao watoto ni wa umri gani, wasiojua kua hii ni halisi na hii ni fake, nadhani hata kwenye mafunzo watafundishwa na kuonywa kutumia bunduki halisi.

Wawafundishe tu aisee, sioni ubaya kwenye hilo. Wakimaliza hilo wazazi wawapeleke watoto wajifunze mapigano ya ana kwa ana.
Kulenga shabaha hakujalishi halisi au feki, ukijifunzia chochote ukipewa halisi utaweza, na ukijifunzia chochote utakuwa na ujasiri na hamu ya kutumia halisi hivyo utaitafuta.
 
Kulenga shabaha hakujalishi halisi au feki, ukijifunzia chochote ukipewa halisi utaweza, na ukijifunzia chochote utakuwa na ujasiri na hamu ya kutumia halisi hivyo utaitafuta.
Amna icho kitu bna, achana na mawazo hayo.
Tukiwa watoto tulikua tunaendesha vile vigari vyetu wala hakukua na mtu anaewaza kua atafute gari halisi aendeshe.

Michezo ya bunduki, tushacheza sana wala hakuna tukio tumewahi kufanya.

Michezo ya kibaba na mama watoto wanaigiza kama kweli vile lakini haiathiri ukuaji wao wala heshima kwa wazazi wao zaidi ya kuwajengea kua waamuzi wazuri.
 
Miaka michache iliyopita wakati wa maonesho ya Sabasaba Dar. ziliuzwa bunduki eti za watoto japo zilikuwa na uwezo wa kujeruhi, watu walizigimbea na polisi walipokuja kushtuka mkeka ulikuwa unaanuliwa na sinia laenda kuoshwa! Ni kwamba waandaaji wa maonesho hawakukagua bidhaa zinazoingizwa kwenye maonesho, huo ulikuwa uzembe hatari.
na watu wanaona sawa tu
 
Dogo acha kuning'iniza poumbou hapo sofani sebuleni kwa shemeji Yako. Katafute chumba uswaz ujitegemee.

Sasa tuseme dada Yako na watoto wote wamesafiri ukabaki na shemeji Yako tu itakuwaje na haka kapupwe mwezi huu kanavyopuliza.
Ndo akili zako zilipo ishia,, unatofauti gani na mbwa aliyenusa pheromone [emoji2369]
 
..hamjaona CHIPUKIZI wa Ccm wakichezea silaha?
Kama watoto wanazuiliwa wasitumie toys kwamba watakuja kuwa wauaji je majizi ya kura yalipokua bado madogo yalikemewa vipi kutojifunza wizi wa kura unaoleta madarakani viongozi vimeo ambao sio chaguo la wananchi.?
 
ukenikumbusha vile vibastola vya zamani vinatoa mlio na moshi ndani vinajazwa baruti aisee vile vina vibee mnoo
 
Kuna tangazo Azam Tv linalohusu tamasha la watoto litakalofanyika mwezi wa 8 Oyterbay kwenye uwanja wa kijani zamani kulikuwa dipu ya kuogeshea mbwa, moja ya "mchezo" ni wa kulenga shabaha kwa kutumia bunduki bandia, huu kwa watoto wenye wazazi wanaomiliki bunduki ambao ni wengi kulingana na eneo unaweza usiishie hapo bali utafika nyumbani siku yoyote ile mtoto atakapojisikia kuiba bunduki ya baba na kulenga shabaha.

Hivi waliouandaa mchezo huo kwa watoto walifikiria nini, mtoto alenge shabaha kwa bunduki bandia ili iweje! Ninaliomba jeshi la polisi lisiuruhusu mchezo huo na mingine isiyofaa kwa watoto, pia iwe imakagua michezo yote ya watoto, ninakumbuka huko nyuma mjini Morogoro wakati wa sherehe za nanenane kuna mtoto alifariki baada ya kuanguka kwenye pembea ya kuzunguruka, hii ilitokana na kukosa ukaguzi wa kuona mnyororo unaotakiwa kumshika kama haupwai.
Naunga mkono hoja, kisa haya yafuatayo;

1. Mtoto, hana uwezo mkubwa wa kutofautisha kati ya bunduki toi na bunduki halisia. Kwa wazazi wenye bunduki, siku akiiweka mikononi mwake ataendelea kucheza, kumbe anauwa kweli.

2. Kumfunza shabaha mtoto hakuna faida yoyote inayopatikana kwa wazazi au taifa kwa ujumla

3. Kulenga shabaha, kwa mtoto kwake ni mchezo, lakini siku akiipata bunduki halisia inayofanana na ile aliyoitumia kwenye kulenga shabaha, anaweza akauwa huku hajui kwamba anauwa na hatajua madhara ya bunduki halisia.

4. Kwenye kulenga shabaha, mtoto hajifunzi kitu chenye faida kwake ukilinganisha na hasara mtoto anazoweza kuziweka kwa jamii.
 
Back
Top Bottom