Jeshi la Polisi huu si mchezo wa watoto, ni janga kwa wazazi

Jeshi la Polisi huu si mchezo wa watoto, ni janga kwa wazazi

Kuna tangazo Azam Tv linalohusu tamasha la watoto litakalofanyika mwezi wa 8 Oyterbay kwenye uwanja wa kijani zamani kulikuwa dipu ya kuogeshea mbwa, moja ya "mchezo" ni wa kulenga shabaha kwa kutumia bunduki bandia, huu kwa watoto wenye wazazi wanaomiliki bunduki ambao ni wengi kulingana na eneo unaweza usiishie hapo bali utafika nyumbani siku yoyote ile mtoto atakapojisikia kuiba bunduki ya baba na kulenga shabaha.

Hivi waliouandaa mchezo huo kwa watoto walifikiria nini, mtoto alenge shabaha kwa bunduki bandia ili iweje! Ninaliomba jeshi la polisi lisiuruhusu mchezo huo na mingine isiyofaa kwa watoto, pia iwe imakagua michezo yote ya watoto, ninakumbuka huko nyuma mjini Morogoro wakati wa sherehe za nanenane kuna mtoto alifariki baada ya kuanguka kwenye pembea ya kuzunguruka, hii ilitokana na kukosa ukaguzi wa kuona mnyororo unaotakiwa kumshika kama haupwai.
Moja ya story za kahawa za Iddy Amin Dadaa inasema Mwanae kipenzi Jr akiwa bellow 12yrs alichukua bastola ya baba yake af akamwamvia dady hands up( enzapu) Dadaa aliogopa sana akaweka mikono juu AF akawa mpole mixer Jr stop my son. Alipofanikiwa kumnyanganya alimwagia Jr za ukweli ukweli dogo aka R I P. Alijua akimuacha kuna siku atafanya kweli. Credit kwa kijiwe cha kahawa tegeta kwa ndevu
 
Hizo ni habari za miaka ya sabini.
 
Back
Top Bottom