BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Tume ya Kitaifa ya Haki za Kibinadamu ya Kenya, (KNCHR) imeitaka Serikali kuchunguza Vitendo vya Ukiukwaji wa Haki za Binadamu vilivyofanyw ana Polisi kupitia Uharibifu, Ukamataji, Kujeruhi na Matumizi ya Risasi za Moto dhidi ya Waandamanaji.
Taasisi ya KNCHR inayofadhiliwa na Serikali imesema "Maafisa wa Polisi walipaswa kuwatenganisha wanaovuruga amani na kuwalinda wasio na hatia wakati wa maandamano na sio wakuwapiga,".
Serikali ya Rais Ruto inakabiliana na Maandamano ya kupinga Gharama kubwa za Maisha na madai ya Ukiukwaji wa Sheria katika Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2022 yanayoongozwa na kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga.
================
The government-funded Kenya National Commission on Human Rights (KNCHR) has said it is documenting allegations of human rights violations committed in Monday’s protests by both police and demonstrators.
In a statement, the commission called on the government's police watchdog to also investigate reports of vandalism, arrests, injuries and use of live fire by police officers.
"Police officers should be able to isolate and arrest violent protesters who are in breach of peace and at the same time protect those who are innocent during the demonstrations," the KNCHR said.
"The commission further affirms that any human rights violation or abuse in the context of these demonstrations must be investigated promptly, thoroughly and impartially.”
The protests against the high cost of living and alleged electoral malpractices turned violent in several opposition strongholds, including parts of Nairobi and the west of the country.
BBC