Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Ni mwanaccm huko hakuna matata.Hivi zile tuhuma za mkuu wa mkoa ,kwa kesi ya ulawiti iliishia wap?
Hakubariki ni kwa sababu kwenye mfumo wanachangia kumchafua,hawamsaidii!Ni kweli mleta mada. Lkn yote kwa yote huyu mama hakubaliki kabisa huku bara. Akazane tu kuchota hela kwa sasa, maana 2025 hatoboi.
Kukichwa kutapambazukaJeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu? Ni wazi mtindo huu umeanzishwa na jeshi hilo kuwatisha wananchi wasijiunge na Chadema kwa kuhofia kukamatwa, hii haikubaliki.
Kukichwa kutapambazukaView attachment 3068383Jeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu? Ni wazi mtindo huu umeanzishwa na jeshi hilo kuwatisha wananchi wasijiunge na Chadema kwa kuhofia kukamatwa, hii haikubaliki.
Una tume huru ya uchaguzi?Umesahau Maalim Seif alishinda urais Zanzibar?je alitangazwa?Ni kweli mleta mada. Lkn yote kwa yote huyu mama hakubaliki kabisa huku bara. Akazane tu kuchota hela kwa sasa, maana 2025 hatoboi.
CCM ina ukoo wa viongozi hivyo ni lazima wajilinde kwa kila hali wasiondoke madarakani, kina hivi vikundi vya "Hamasa" ni vikundi hatari kwani havitakuwa tayari kukibali CCM kutika madarakani.Una tume huru ya uchaguzi?Umesahau Maalim Seif alishinda urais Zanzibar?je alitangazwa?