Tetesi: Jeshi la Polisi kuzuia kikao cha baraza kuu la CUF

Tetesi: Jeshi la Polisi kuzuia kikao cha baraza kuu la CUF

Status
Not open for further replies.
Mie sikuwahi na wala sitamsafisha Lowassa popote pale. Usibadili somo husika.

Hata Lowassa tulisema hivyo Lakini sasa tushamsafisha. Siku hizi nimejifunza kuwa Bila tuhuma kuthibitishwa na mahakama ni uwongo.
 
Mie sikuwahi na wala sitamsafisha Lowassa popote pale. Usibadili somo husika.
Ikiwa ni hivyo itakuwa tupo msimamo mmoja.japo kwa sasa naamini Lowassa hakufanya ufisadi . Kelele za wakati wa kampeni zilizopigwa angelikuwa yupo ndani na kina sings singa.
 
Huu mhimili ulio jichimbia chini zaidi inaonekana unatuchokonoa tukasirike ili wajaribie silaha zao. Mimi siamini kama haya yanayo endelea watu wenye akili wanaweza kuyavumilia. Wananchi ambao siyo wajinga hawawezi kuvumilia milele. Lipumba anatakiwa atafutiwe dawa!
 
Kikao kimefanyika, na maazimio yametolewa, sasa hii tetesi si ibadilishwe kutoka tetesi na kuwa sijui nini sasa.
 
Kumbuka mpira waliokuwa wanarushiana kuhusu Richmond/Dowans ambao uliwagharimu walipa kodi zaidi 100 billions ama wote walihusika katika kutuingiza katika ule mkenge au mmoja wao. Kama ni mmoja anahusika huyo asiyehusika kwanini aliogopa kumuanika mwenzie hadharani?

Ikiwa ni hivyo itakuwa tupo msimamo mmoja.japo kwa sasa naamini Lowassa hakufanya ufisadi . Kelele za wakati wa kampeni zilizopigwa angelikuwa yupo ndani na kina sings singa.
 
KATIBA ZA VYAMA KWA MAAMUZI HARARI YANARUHUSU E-BUSINESS, Yaani mikutano ya kimtandao!

Kwa vyovyote vile. Wanahitaji ubunifu. Wakikaa wanasubiri 2020, wakati wenzao kila kukicha wako na mikutano ya siasa Tanzania nzima, watakuwa hawatufai. Watakuwa wamejiondolea uwezo wa kupambana na changamoto ambazo zinajitokeza kila siku katika maisha ya watu binafsi, taifa na duinia. Lazima wawe kama maji ya mfereji. Ukiyazuia huku yanatengenza naman nyingine.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom