Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,804
- 10,715
Sio watu tu, ni watu wanaotambulika na msajili wa vyama vya siasa!!Nadhani CUF watafute sehemu nyengine ya kufanyia kikao chao.... Baraza kuu ni watu na si jengo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio watu tu, ni watu wanaotambulika na msajili wa vyama vya siasa!!Nadhani CUF watafute sehemu nyengine ya kufanyia kikao chao.... Baraza kuu ni watu na si jengo!
Lazima anyooshwe ajue kuwa kiongozi mzuri ni Yule ambaye hufanya maamuzi na mazuri kwa speed. Ya lipumba kayataka yeye aliamua kumuweka kaimu Mwenyekiti kwa mwaka mzima ili awe anamuendesha. Angefanya maamuzi sahihi na ya haraka sasa hivi tungekuwa tumemsahau pro pesa.Mwacheni seifu avune alichopanda siku nyingi huyu seifu alitumika sana na mwalimu nyerere kipindi hicho hadi akasababisha marehem abdu jumbe kujiuzuru uraisi.sasa saizi ni zamu yake kuhujumiwa ili aone maumivu waliyoyapata wenzake kipindi hicho.SEIFU atulie sindano imwingie nizamu ya LIPUMBA kuitumikia serikali
Seifu huwa anakiburi sana hata kwenye mgogolo na hamadi rashid yeye hakutaka maelewano.huyu lipumba ni mnyamwezi sio akina yakheeeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu acha kuandika pumba humu! Aliyetumwa na Mungu KAMWE hawezi kuwa nduli kama hivi.
Makao makuu ya cuf ni zenjiBaraza za CUF linaitishwa na Mwenyekiti wa CUF siyo Katibu Mkuu na wala Makao Makuu ya CUF hayo Unguja yako Buguruni, Dar es Salaam. Wewe mbeba mabox huwezi jua ya TZ waachie wanaCUF wenyewe!!
Ni kheri MTU kubaini wapi ulipokosea ili ujue mbinu za kusahihisha kosa kuliko kuhamishia kwa wengine, Aliyeshitaki polisi huhusu kikao haramu cha Zanzibar ni Mwenyekiti wao tena amesema mbele ya vyombo vya habari. Kuwa hajatoa maelekezo ya kuitishwa kwake, Yawezekana hamtaki kumtambua lakini ndyo hivyo sheria inamtambua na polisi wapo kuhakikisha sheria za nchi zinatekelezwa. Mkiambiwa rudini mezani mmalize matatizo yenu kila mmoja ananyonga sharubu, mtaja situka mmechoka kiakili msijue la kufanya.
Lakini ndugu mbona unaniita mpumbavu kwani si kila mmoja na uelewa wake na Hili ni jukwaa huru la demokrasia. Hebu jifunze kuheshimu mawazo ya wenzako.
Lakini si mwenyewe ndio anavyosema kuwa Katumwa na Mungu. Na pili ikiwa Mimi unaniita mpumbavu basi unakubaliana na maneno ya mzee mkapa? Maana Mimi napenda hoja si kashfa.Wewe kama unaandika pumba lazima uambiwe ukweli. Hii dhana yako ya huyo dikteta uchwara katumwa na Mungu uliipata wapi wewe!? Ni Mungu yupi huyu anapenda viunbe vyake watishwe kila kukicha na kupandikiziwa chuki miongoni mwao badala ya upendo!?
Lakini si mwenyewe ndio anavyosema kuwa Katumwa na Mungu. Na pili ikiwa Mimi unaniita mpumbavu basi unakubaliana na maneno ya mzee mkapa? Maana Mimi napenda hoja si kashfa.
Kwani hujui wanautumwa na Mungu siKwa hiyo kwa sababu yeye kasema basi na wewe umemuamini kwamba kweli katumwa na Mungu kuja kuwanyanyasa wanadamu wenzie waishi kwa hofu kubwa ya kuogopa hata kuongea mustakabali wa nchi yao au kumkosoa anapofanya madudu na pia kuwapoteza binadamu wenzie kama vile yeye ni Mungu! Ben Saanane huu mwezi wa 10 hajulikani aliko kule Kilwa waislamu 10 wanevamiwa kwenye nyumba yao ya ibada hawajulikani walipo na huyo aliyetumwa na Mungu yuko kimya kabisa!
Kwani hujui wanautumwa na Mungu si
Mpaka malaika waweletee ujumbe ndio wafanye maamuzi. Ujumbe alioletewa mtukufu kutoka kwa Mungu hivi sasa ni haya tunayoyaona. Sasa kuhusu hao masheikh subiri Mungu amtume malaika ili mtukufu ajue atawasaidia hivyo. Hata mitume hawakufanya maamuzi ya papara.
Si kama hawakumshirikisha, sema kama hawajavunja taratibu ya katiba ya CUFMwenyekiti wa CUF si ni Ibrahim H. Lipumba? hakuna kibaya hapo kama hawakumshirikisha kufanya hicho kikao. Ni muhimu mamlaka iheshimiwe. Bila kuheshimu mamlaka hakuna maana ya siasa.
KATIBA ZA VYAMA KWA MAAMUZI HARARI YANARUHUSU E-BUSINESS, Yaani mikutano ya kimtandao!Ni dhahiri serikali ya ccm imeamua kuua upinzani na kulazimisha kufanay itakacho kwa maslahi ya watu watchache kwa kutumia mitutu. Huu ni ubabe ubabe.
Wakati CCM wakikutana ndani na nje kwa uhuru bila woga, na wanachokitafanya ni kampeni dhidi ya umoja wa nchi na matusi kwa Watanzania as if nchi ni yao peke yao, vyama vya upinzani ambavvyo ndivyo vina Watanzania wengi kuliko CCM, haviruhusiwi kufanya mikutano huru ya hadhara. Kwa nyongeza, hata mikutano ya ndani inazuliwa, na la ajabu, hata ya viongozi tu peke yao marufuku isipokuwa ile inayofanywa na vyama vyenye ubia na ccm kama ccm lipumba.
Wapinzani halisi ninaomba muende mbele zaidi. Acheni kulumbana na kufukuzana na maccm ambao kwao taifa si kitu isipokuwa maslahi yao. Hamwezi kuendelea kupigania taifa ikiwa mnaambiwa mikikutana mtauawa. Na mtauawa kweli. Kama si vitisho vya kuuliwa, bila shaka pasingekuwa na sababu ya kuwaweka kwenye targeti za mitutu ya bunduki. Bado ukombozi upo na hapo ndipo ccm itakufa kifo cha moja kwa moja kwa kuwa hakutakuwa na mtu wa kuwakubali kwa lolote. wakipoteza wameondoka na Tanzania itakuwa huru. Na hilo wanalijua.
USHAURI WANGU. FANYENI E-CONFERENCES, MUAZIMIE KILA MKITAKACHO NA HAKUNA BUNDUKI ITAPEKUA KILA NYUMBA KUANGALIA NANI YUKO KWENYE MKUTANO NA NANI. UKAWA MNA IT WAZURI, WATUMIENI HAO MTENGENEZE HII NAMNA YA KUONDOKANA NA MAKELELE YA KIBABE NA VITISHO VYA BUNDUKI.
MKAKATI HUU UFANYENI KATIKA NGAZI ZOTE. TECHNOLOJIA IKO JUU SANA KWA SASA KUZUIA WATU WASIKUTANE. WASILIANENI KWA NJIA YA MITANDAO. KUTANENI YA WANACHAMA WENU KWA NJIA HII. KUBALIANENI MIKAKATI KWA NJIA HII NA FANYENI SENSITIZATION NA RECRUITMENT YA WANACHAMA WAPYA, NA MPASHANE HABARI KWA NJIA HII.
KWA KUWA HAMRUSIWI KUKUTANA KWA WINGI, WALE WANAOBAHATIKA KUPATA AUDIENCE NA WATU, WAWASILISHE HOJA ZENU ZA NGUVU.
FANYENI TATHMINI YA MAMBO YENU KWA MTANDANO. HADI CCM WAIGE HAPA, WATAKUWA WALISHAPOTEZA UWEOZ WA KUONA.
Mimi Nitajua uwongo na ukweli 2020Wanaotumwa na Mungu hawana tabia za ajabu kama huyu fisadi, mwizi, muongo na dikteta uchwara. Na uache kuamini watu hovyo hovyo lazima upime maneno yao na matendo yao kwa kina kabla ya kuamini wasemacho. Wahenga walisema akili ya kuambiwa jiongeze/changanya na akili yako.
Pointi ya msingi sana hiyo, kikao chochote lazima kipate baraka za Mwenyekiti kabla ya kuitishwa iweje Maalim aitishe kikao bila baraka za Mwenyekiti?Mwenyekiti wa CUF si ni Ibrahim H. Lipumba? hakuna kibaya hapo kama hawakumshirikisha kufanya hicho kikao. Ni muhimu mamlaka iheshimiwe. Bila kuheshimu mamlaka hakuna maana ya siasa.
Mimi Nitajua uwongo na ukweli 2020
Head Office na Makao Makuu tofauti yake nini mkuu?
Hata Lowassa tulisema hivyo Lakini sasa tushamsafisha. Siku hizi nimejifunza kuwa Bila tuhuma kuthibitishwa na mahakama ni uwongo.Na huu ukweli chungu nzima wa miaka zaidi ya 20 ya huyu dikteta uchwara kuwepo Serikalini na kufikia hadi kuandikwa kwenye ripoti za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali ikiwemo kuwa muongo, fisadi na mwizi unaupotezea!