Tetesi: Jeshi la Polisi kuzuia kikao cha baraza kuu la CUF

Tetesi: Jeshi la Polisi kuzuia kikao cha baraza kuu la CUF

Status
Not open for further replies.
Wewe unashindwa nini kuchukua hatua ? au uwezo wako ndio huu wa kuja hapa kuongea majungu na mipasho? unatumia muda mwingi kutunga uwongo bila kuangalia athari zake, ulivo kuwa mweupe unashindwa ata kujitathmini umejaa chuki zakupitiliza kwa watawala, utaumia na kusikitika sana maana hamkutumwa mbadilishe magia yenu angani ni ujinga kuweza kuamini gia ikibadilishwa angani huwa haina madhara.
Mkuu tatito la wapinzan wa tz ni kukurupuka tu bila kujenga hoja zenye mashiko. Wanajua kulalamikia kila kitu, hawajui maana ya upinzani ni kujenga hoja zenye mashiko ili kujikwamua kidemokrasia na sio kupinga tu kila kitu.
kwa sasa upinzani hawana jipya zaidi ya kutapatapa tu, sijui wanataka nani awaoneee huruma!
 
Maagizo kutoka juu yanapitia mitume siyo IGP. CCM miongo kweli.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tumuombee mtukufu azidi kuinyoosha nchi.
Hivi tukimwombea mtu Mungu anavyokuwa anapokea hayo maombi naye kweli haangalii uhalisia wake!?
Kama serikali ikikana kuwa haihusiki na kinachoendelea cuf basi naamini sala zitapokelewa.
 
Hapa naona muhimili mmoja tayar ushatitia (bye bye bunge) huku tukisubir mahakama nayo ichukuliwe na mwewe
Wanasheria duniani kote ni watu wenye msimamo kwenye kile wanachokiamini!

Mahakama bado ni muhimili ulio umara sana hata Trump kule USA analijua hilo.

Wapinzani wazitumie mahakama zetu kulinda haki zao kama wanaamini zinakiukwa.
 
nendeni zenu uko kila.mtu mjitie maelezo kutoka juu nyie vepe? mbona alipondoka cuf hamkusema maelezo kutoka juu? nyie wehu ugomv wa cuf wenyew wanapimana uwezo mnataka peleka lawama kwa serikali acheni upuuz wenu bhana.

mabaraza makuu yapo mawili kwa sasa lipo baraza la seif na baraza la lipumba hawa wote wanapimana uwezo na chanzo ya yote ni fedha na madaraka hizi ruzuku hizi zngetolewa nisingeona watu kugombana hivi
 
hii inchi inabidi tupigane qubabake ili tuheshimiane vinginevyo huu ungese hautaisha la mama isa
 
Hivi tukimwombea mtu Mungu anavyokuwa anapokea hayo maombi naye kweli haangalii uhalisia wake!?
Kama serikali ikikana kuwa haihusiki na kinachoendelea cuf basi naamini sala zitapokelewa.
Magufuli ametumwa na Mungu kuja kuwanyoosha kwahiyo dua zitakubaliawa tu. Angekuwa ametumwa na shetani zisingekubaliwa . Kwahiyo wacha tuone matokeo ya Mtu aliyetumwa na Mungu baaada ya miaka 10 ndio uje ucomment.
 
Hivi ni Mungu yupi huyo mwenye kumtuma mtu apandikize chuki za kutisha hivyo na kutumia vitisho kila kukicha dhidi ya wanadamu wenzie!?

Back
Top Bottom