Jeshi la polisi Dar kupitia kwa kamanda Simon Sirro limekana kuhusika kwa lolote lile lililomtokea msanii Roma Mkatoliki na kwamba linafanya jitihada kumpata.
Jeshi hilo limeomba mtu mwenye taarifa zinazomhusu msanii huyo kupeleka taarifa kwao mara moja.
Msanii huyo alitekwa juzi jioni akiwa ndani ya studio za Tongwe records pamoja na wenzake na mpaka sasa hajulikani alipo na yupo katika hali gani.
Aidha upo uvumi unaoenezwa ndani ya mitandao na vijiweni kuwa huenda msanii huyo amefikwa na "mabaya" hali ambayo imezua taharuki kubwa miongoni mwa wasanii.
Inasikitisha sana... kwa hali ilivyo hata hao watekaji hawatawaachia kwasababu watu wata question zaidi tofauti na ilivyokua kwa Nay wa mitego. what happened kwa Ben Saanane ndio kinachoenda kuwatokea hao wenzetu. INATISHA JAMANIII... nimemsikiliza mke wake uwiii hadi tumbo limenikata
Yule alitoa bastola kwa nape nae?
Hii ilitakiwa watu kadhaa wajiudhuru nafasi zao kama kweli sio wao maana kazi yao ni nini sasa?
Maana wanafunzi wakifeli hapa utaona mahead masters na wakuu wa shule plus walimu.wanavyovuliwa vyeo na kulimwa barua.
Wao aaaah wanakuja ma majawabu wakati watu wanataka majibu ya maswali haya yazuayo sintofahamu
Hakuna aliyejitukuza hapa duniani halafu akawa na mwisho mzuri.
Muulizeni Stresser Valentine, alikuwa rais leo hii mpaka pombe za kienyeji anagongea kwa walevi wenzake.
Jeshi la polisi Dar kupitia kwa kamanda Simon Sirro limekana kuhusika kwa lolote lile lililomtokea msanii Roma Mkatoliki na kwamba linafanya jitihada kumpata.
Jeshi hilo limeomba mtu mwenye taarifa zinazomhusu msanii huyo kupeleka taarifa kwao mara moja.
Msanii huyo alitekwa juzi jioni akiwa ndani ya studio za Tongwe records pamoja na wenzake na mpaka sasa hajulikani alipo na yupo katika hali gani.
Aidha upo uvumi unaoenezwa ndani ya mitandao na vijiweni kuwa huenda msanii huyo amefikwa na "mabaya" hali ambayo imezua taharuki kubwa miongoni mwa wasanii.
simu yake ipo online whatsapp na ikipigiwa inaita..
ile technologia inayotumika kuwakamata wanaowatukana viongozi si itumike kutrack yuko wapi??
au hako ka technologia ni kwaajili ya kuwalinda wakubwa tu
Inasikitisha sana... kwa hali ilivyo hata hao watekaji hawatawaachia kwasababu watu wata question zaidi tofauti na ilivyokua kwa Nay wa mitego. what happened kwa Ben Saanane ndio kinachoenda kuwatokea hao wenzetu. INATISHA JAMANIII... nimemsikiliza mke wake uwiii hadi tumbo limenikata
Haya yanayoendelea kesho wananchi wakilianzisha na aina ya watekaji kama hawa ndipo Jeshi la Polisi litakapo baini kuna tatizo mahali. Haishangazi kama watu wanafikia kumtolea Bastola aliyepata kuwa Waziri mchana kweupe mbele ya Kadamnasi . Hivyo kumteka mtu yoyote yule haiwezi kuwa jamabo la kushanga. Chakushangaa ni Wananchi tumechukua hatua gani ili hili kutogeuka kuwa sehemu ya Maisha na utamaduni wa kawaida?
Kazi namba moja ya jeshi la polisi Tanzania ni kulinda RAIA na Mali zao...tulitegemea kumsikia Sirro akituambia ni jitihada gani jeshi limefanya ili Roma apatikane.
Kutuambia tu kuwa Mwenye taarifa awapelekee wakati wao Wapi ofisini wakisubiri Mwisho wa mwezi ufike wakalipwe kwa kodi Zetu si sahihi.
Ishu imesharipotiwa polisi...hakuna kitu polisi imefanya mnakuja na ngonjera za eti wananchi wapeleke taarifa.
Inasemekana mpaka Jana simu ya Roma ilikuwa hewani ila haipokelewi...kitengo chao cha uhalifu wa mtandao hawakuweza kutrack hyo namba wajue Roma yuko maeneo gani...wanakuja na talalila zao hapo...f******k the cops.
usalama wa wananchi upo wapi.na hii tabia ya kuchukuwaa watu bila taarifa za ndugu na jamaa .si ngeni kwa mtindo huu.je wajibu wetu kama raia kujua sheria.
huyu ni roma leo kila mtu anataka kujua.je makapuku kama sisi..?