Jeshi la Polisi lakana kuhusika kutekwa kwa msanii Roma Mkatoliki

Jeshi la polisi Dar kupitia kwa kamanda Simon Sirro limekana kuhusika kwa lolote lile lililomtokea msanii Roma Mkatoliki na kwamba linafanya jitihada kumpata.

Jeshi hilo limeomba mtu mwenye taarifa zinazomhusu msanii huyo kupeleka taarifa kwao mara moja.

Msanii huyo alitekwa juzi jioni akiwa ndani ya studio za Tongwe records pamoja na wenzake na mpaka sasa hajulikani alipo na yupo katika hali gani.

Aidha upo uvumi unaoenezwa ndani ya mitandao na vijiweni kuwa huenda msanii huyo amefikwa na "mabaya" hali ambayo imezua taharuki kubwa miongoni mwa wasanii.

Mkuu, unadhani ni kwanini Roma Mkatoliki ametekwa na siyo kukamatwa na polisi au vikosi vya usalama?

Je, kama ametekwa unadhani ni kwasababu gani za kisiasa au kimuziki au kimaslahi na watu fulani?

Je, unadhani kuna mkonoi wa serikali kwenye hili tukio?

Ushauri wa kitaalam:

Taarifa za kuhusu gari ilotumika kumteka huyu kijana yaani picha ya gari, na namba zake ziwekwe mitandaoni.

Namba ya usajili itafutwe ijulikane ni nani mmiliki wa gari hili na kwanini limetumika kuwateka Roma na wenzake.

Kuitafuta namba ya usajili ni pamoja na kuuiuliza TRA kuhusu umiliki wa gari hii.

Haya yote yanapaswa kufanywa kwa kuwa polisi wamekana kuhusika na utekaji huu ingawa umetaka kuonyesha hivyo kwamba voymbo vya ulinzi na usalama Tanzania vinajihusisha na utekaji raia wake.

Pia waziri wa mambo ya ndani hajatoa maelezo yoyote kuhusiana na hili.
 
mimi naona wasanii uchwara wasioelewa thamani ya kua msanii na kuimba nyimbo zisizokua na maadili na heshima kwa jamii washitakiwe kwa mujibu wa sheria. upinzani siku hizi wamechanganyikiwa wanaporomosha mitusi ya nguoni hadi kwa
rais wa jamhuri. wasanii wapinzani nao kadhalika. wasanii kama kioo cha jamii bila maadili ni hatari kwani wanaweza hata wenyewe kwa wenyewe kutekana nyara.
 
Sasa wewe unataka wasemeje iwapo kama hawajawachukua. Mbona chama mfu wana vikundi vya ugaidi na utekaji
Naona ww unaweza isaidia police kumbe unajua kuna vikundi vya kigaidi na vya kuteka watu .police kamateni mtu huyu awasaidie kutokomeza ugaidi
 
Hivi inakuwaje mpaka watu wanaingia ndani wanawachukua watu wapatao watano bila ya kuwaambia kuwa sisi ni akina nani na mnatakiwa kwenda wapi.
inawezekana waliambiwa lakini hakuna wa kutuambia sisi
 
Kwani wanaovamia studio ni polisi ? Hapana tumeona live clouds media kilichotokea na askari wale Gwajima anawaita makirikiri
Ama wale watoa bastola wa Protea kwenye press ya Nape

Hivyo ni kweli kabisa sio polisi ndio waliohusika
 
Xaxa hpo umejenga hoja au umetukana?
Mudawote ana matusi sana haoni kama wapinzani ni watu! Anastahili kutukanwa! Tumechoka sasa, si ajabu ndiye amemteka Roma, chuki aliyonayo ni kubwa kupitiliza. Muda mwingine unatoka nje ya msitari kwa watu kama hao!
 
Sasa wewe unataka wasemeje iwapo kama hawajawachukua. Mbona chama mfu wana vikundi vya ugaidi na utekaji
Naona umesema kweli, kuwa chama mfu ccm kina kikundi cha ugaidi na utekaji!
Mtakufa mtaoza tu, hamtaishi milele!!
Tekeni wote wanaopingana na udhalimu wa u mfu wenu, kamateni kila mtu mumfanye mtakavyo!
 
Mkuu, unadhani ni kwanini Roma Mkatoliki ametekwa na siyo kukamatwa na polisi au vikosi vya usalama?

Je, kama ametekwa unadhani ni kwasababu gani za kisiasa au kimuziki au kimaslahi na watu fulani?

Je, unadhani kuna mkonoi wa serikali kwenye hili tukio?

Ushauri wa kitaalam:

Taarifa za kuhusu gari ilotumika kumteka huyu kijana yaani picha ya gari, na namba zake ziwekwe mitandaoni.

Namba ya usajili itafutwe ijulikane ni nani mmiliki wa gari hili na kwanini limetumika kuwateka Roma na wenzake.

Kuitafuta namba ya usajili ni pamoja na kuuiuliza TRA kuhusu umiliki wa gari hii.

Haya yote yanapaswa kufanywa kwa kuwa polisi wamekana kuhusika na utekaji huu ingawa umetaka kuonyesha hivyo kwamba voymbo vya ulinzi na usalama Tanzania vinajihusisha na utekaji raia wake.

Pia waziri wa mambo ya ndani hajatoa maelezo yoyote kuhusiana na hili.

Inategemea,labda hawajafanikiwa kuchukua namba za gari kaka
 
Mkuu unafikir ata ikiwekwa video hpa kuna litakalotokea? Kama tukio la clouds ambalo mpk footage zliwekwa,majibu yaliyotoka kuwa huo ni udaku wa mitandaoni,zkaletetwa zile pcha za magar pamoja na anaezmilik kuwa yale magar ni ya watuhumiwa wa madawa ya kulevya,no action taken,je hili ndo iwe rahis ivo?? Muulze Nape
 
Anatarajia kutoa Singo mpya kwa hiyo hii ni Kiki kimziki.
 
Sasa wewe unataka wasemeje iwapo kama hawajawachukua. Mbona chama mfu wana vikundi vya ugaidi na utekaji

Hivi Uchama Unawezaje Kukutoa Imani na Utu Wako?

Umeambiwa Simu Yake Ikipigwa Inaita Sasa Polisi Kama Wanaweza Kupata Intelenjia za Kwenye Mikutano ya Kisiasa Wanashindwa Vipi Kumpata Roma Hata Kama Hawakumchukua Wao?

Tatizo Lako Wakati Wenzako Wanatafuta Elimu Kukuza Utashi, Wewe Ulikuwa Busy na Chipukizi Ndiyo Maana Unashindwa Hata Kufikiri
 
Hivi kwa akili ya kawaida kuna mtu anaweza kumteka roma tofauti na wahusika wakuu?..
 
Hivi Hii Inchi Watu Watafanya Vipi Kazi? Ikiwa Kila Kukicha Serikali Inatengeneza Matukio ya Kutisha?

Ili Kubadili Mwelekeo wa Fikra za Jamii kwa Kupoteza Muda Mwingi wa Watu Kuongea Hivi Vitu
 
Back
Top Bottom