Jeshi la Polisi lakanusha kumshikilia Sheikh Zuberi Nkokoo Mkoani Singida

Ukiona manyoa,ujue kaliwa!
CC: kifo ni kifo TU.
By saa100
 
Wanabalance ili ionekane hata waislamu nao wanatekwa.
Watekaji hawajahi kuwa na akili
Kwani mdude ni mkristo ?! Na marehemu Ally Kibao je ?! Acheni fikra za udini! Yaani mnatia aibu saa nyingine! Udini, udini , udini, haya semeni mdude ni muumini wa kanisa gani ?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…