Jeshi la Polisi lamshikilia mwanaume kwa tuhuma za kumchezea sehemu za Siri mtoto

Jeshi la Polisi lamshikilia mwanaume kwa tuhuma za kumchezea sehemu za Siri mtoto

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,126
Reaction score
5,068
Polisi Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima wa Mlandizi kwa kumdhalilisha Mtoto wa kike mwenye miaka mitatu kwa kumchezeachezea sehemu za siri

Alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea Mwanafunzi huyo wa Chekechea

====

Polisi Mkoa wa Pwani wanamshikilia Anthony Lugendo (34) Mkulima mkazi wa Mlandizi kwa kosa la kumdhalilisha Mtoto mdogo wa kike mwenye umri wa miaka mitatu (Jina limehifadhiwa) kwa kumchezeachezea sehemu za siri.

“Tarehe 16/9/2021 majira ya saa 10 jioni huko kitongoji cha Kaloleni, kata ya Janga, Wilaya ya Mlandizi mkoa wa Pwani mtuhumiwa alikamatwa akiwa chumbani kwake amemvua nguo na akiwa anamchezea chezea sehemu za siri mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi wa Chekechea”——— Wankyo Nyigesa, RPC Pwani.
 
Daa!! Tunaekelea wapi? Nilikuwa nadharaudharau mambo ya dini kutokana na source kuu kuanzia sehemu hizohizo. Sasa ngoja nifanye utafiti wa kibinafsi! History v/s dini.

Naanza na Nuhu pamoja na safina yake.

Nimeukumbuka ule wimbo wa Wajelajela
 
Afu kuna jitu

linasema biashara ya KONGWE ipigwe marufuku.

Hivi unakihera chako mfukoni

Na unajua Ni wapi ukapate huduma

Hizo nyege na kitoto kidogo hivyo zinatoka wapi kwanza?
 
Haya mambo sio mepesi kiasi hicho
Kubambikiwa kesi
Ushirikina
Au mtu mwenyewe, hii ni hatari sana
 
Back
Top Bottom