johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Yote hio ni hilo tunduMsemaji wa jeshi la polisi nchini amemtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni na kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje; kama si kuonyesha nchi yetu hakuna amani.
Source East Africa Radio!
Maendeleo hayana vyama!
Kuisadia polisi kwa Tanzania huanzia hivi... we karipoti uone matokeoMsemaji wa jeshi la polisi nchini amemtaka mtu yoyote mwenye hofu na usalama wake kutoa taarifa polisi badala ya kulalamika mitandaoni na kwenye vyombo vya habari vya ndani na nje; kama si kuonyesha nchi yetu hakuna amani.
Source East Africa Radio!
Maendeleo hayana vyama!
Polis siasa mno, achaneni na siasa lindeni RAIA.Inasemekana wameandikiwa barua nyingi tu ya kutaka kumlinda lissu lakini hawajibu..