Huyu dereva inasemekana alifariki kwenye ajali ya New force iliyoingia kwenye korongo Morogoro mwezi huu.
View attachment 2324857
Wanaenda mwendokasi wanasahau kuwa wanafamilia. Sifa zinawaua. Mwenyezi Mungu amrehemu
Yupo Dogo Janja pale Tangibovu mbeziHivi kuna traffic mwembamba kweli?,
Serious watoto 19?Daah mwamba kaacha watoto 19.
R.I.P
Daah
Ndio mkuu wala si utani na sina sababu ya kumsingizia zaidi nawaza tuu watoto wake wataishije baada ya baba yao kufariki, wengi huwa hatujiulizi tuwapo na vyombo vya moto except me.Serious watoto 19?
Yupo mmoja Ruvu Ila nahisi Yule anangomaHivi kuna traffic mwembamba kweli?,
Kama aliovertake malori mengi halafu ikabidi aingie korongo kukwepa gari linalokuja uso kwa uso, hata kumhurumia nashindwa.Huyu dereva inasemekana alifariki kwenye ajali ya New force iliyoingia kwenye korongo Morogoro mwezi huu.
View attachment 2324857
Wanaenda mwendokasi wanasahau kuwa wanafamilia. Sifa zinawaua. Mwenyezi Mungu amrehemu
Yawezekana maana wanavyopenda ngonoYupo mmoja Ruvu Ila nahisi Yule anangoma
Washenzi tu hao let them dieKama aliovertake malori mengi halafu ikabidi aingie korongo kukwepa gari linalokuja uso kwa uso, hata kumhurumia nashindwa.
Abood au BM?Juzi nimetoka Dar-MORO, gari limesimamisha kuanzia stand Mbezi. Njiani trafiki aliingia na hakushangaa chote utafikiri kawaida tu.
Utasikia Turu bestPale kwenu ipogoro vijana wanabet sana eti basi gani litawahi kufika
Tunataka kufika chap mwambaaKwa hiyo basi linakimbia abiria wamekaa tu kama misukule hawapazi sauti
Ova
Kwanini wakimbilie huku na wasichukue hatuua huko walikoyaona yakikimbia?Jeshi la Polisi nchini limetoa barua za Onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani ambazo madereva.wake wanakimbiza sana Mabasi.
Wasipojirekebisha watafutiwa kabisa leseni zao
Chanzo: ITV
Ndiyo maana tunasema jeshi la hovyo kabisa, wanahamasisha mikanda wakati wameruhushu abiria wa ziada wasiokuwa na vitiNa pia atoe onyo kwa madereva wanaoendesha mabasi huku kuna abiria wamesimama hawana siti na wengine wamekaa pale mbele, hawana mikanda
Wakipaza wanasikilizana wenyewe humohumo, hakuna namba za simu za mamlaka za kudhibiti mwendo, kumbuka wamefanya sherehe za zinduzi nyingi tu hazijasaidiaKwa hiyo basi linakimbia abiria wamekaa tu kama misukule hawapazi sauti
Ova
Moro sehemu gani,Huyu dereva inasemekana alifariki kwenye ajali ya New force iliyoingia kwenye korongo Morogoro mwezi huu.
Nchi ya siasa toka mtoto mdogo mpaka vikongwe, hayo matamko yao ni danganya toto, mabasi mengi ya wakubwa hawawezi kudiriki kuyafungiaWonderful.
Si mnazo tochi? Sasa barua ya nini? Piga tochi, kamata funga leseni. Simple.
Mnasubiri mpaka basi liue ndio muanze uchunguzi Kama kule Mtwara.??