Jeshi la Polisi latoa barua za onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani yanayokimbia kupita kiasi ruhusiwa

Jeshi la Polisi latoa barua za onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani yanayokimbia kupita kiasi ruhusiwa

Waache mambo ya Kizamani chuma zipepee watu wawahi kufika,,zamani Dar >Moshi ilikuwa Saa tano Bufallo lishafika ila sasa hivi eti Bus la kwanza saa tisa hata kiuchumi hiyo sio sawa...Mbeya Dar chuma ilikuw inaingia ubungo saa Nane mchana watu wanawahi mambo mengine,,,
Serikali iache mikwara wawaambie CCM waboreshe miundo mbinu iwe kama URAYA waweke Treni za mwendo kasi ziunganishe mikoa yote mikubwa na DAR pia viwanja vya ndege vya kutosha ili wanaotaka kuwahi wawahi na Treni za umeme au ndege,,wanaotaka kutalii wapande mabasi,,na ikiwezekana Ruti ya mabasi usiku iruhusiwe haiwezekani tulazimishwe eti usiju nchi nzima ni muda wa kulala,,,juzi kati kilimanjaro Exp alianzisha safari za Arusha>Dar na DAR>ARUSHA chuma inatoka saa mbili usiku alianza na gari moja ila watu wakawa wengi akaongeza zikawa gari nne ajabu serikali inayosema Kazi iendelee wakafungia na kuwakataza kufanya ile safari


Wacheni Vyuma vitembee wanaotaka kwensa taratibu watapanda basi za tratibu zinajulikana wanaotaka kuwa chakula nyumbani watapanda za mwendo wa umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serious watoto 19?
Ndio mkuu wala si utani na sina sababu ya kumsingizia zaidi nawaza tuu watoto wake wataishije baada ya baba yao kufariki, wengi huwa hatujiulizi tuwapo na vyombo vya moto except me.
 
Huyu dereva inasemekana alifariki kwenye ajali ya New force iliyoingia kwenye korongo Morogoro mwezi huu.

View attachment 2324857

Wanaenda mwendokasi wanasahau kuwa wanafamilia. Sifa zinawaua. Mwenyezi Mungu amrehemu
Kama aliovertake malori mengi halafu ikabidi aingie korongo kukwepa gari linalokuja uso kwa uso, hata kumhurumia nashindwa.
 
Chuma ya Sauli imenipita ipogolo saa 1;35 mchana....me nardi dar saa kumi kasoro nipo ilula napshana na upendo gari ya IRINGA.
 
Kiukweli chanzo cha yote barabara mbovu na nyembamba kuna mzungu mmoja dereva wa truck alishangaa dereva wa bongo wanatumia muda mwingi barabarani, yeye alikuwa anataka dereva anayeenda km 1000akichelewa sana ametuia saa 9 ila alivyosafiri yeye alishangaa sana mpaka akauliza uchumi utakuaje kama means of transportation ni duni hivi
 
Jeshi la Polisi nchini limetoa barua za Onyo kwa Kampuni za Mabasi ya mikoani ambazo madereva.wake wanakimbiza sana Mabasi.

Wasipojirekebisha watafutiwa kabisa leseni zao

Chanzo: ITV
Kwanini wakimbilie huku na wasichukue hatuua huko walikoyaona yakikimbia?
Mtu mzima hatishiwi nyau
Wameendekeza rushwa sasa wameona wakolezee
 
Na pia atoe onyo kwa madereva wanaoendesha mabasi huku kuna abiria wamesimama hawana siti na wengine wamekaa pale mbele, hawana mikanda
Ndiyo maana tunasema jeshi la hovyo kabisa, wanahamasisha mikanda wakati wameruhushu abiria wa ziada wasiokuwa na viti
 
Kwa hiyo basi linakimbia abiria wamekaa tu kama misukule hawapazi sauti

Ova
Wakipaza wanasikilizana wenyewe humohumo, hakuna namba za simu za mamlaka za kudhibiti mwendo, kumbuka wamefanya sherehe za zinduzi nyingi tu hazijasaidia
 
Wonderful.
Si mnazo tochi? Sasa barua ya nini? Piga tochi, kamata funga leseni. Simple.
Mnasubiri mpaka basi liue ndio muanze uchunguzi Kama kule Mtwara.??
Nchi ya siasa toka mtoto mdogo mpaka vikongwe, hayo matamko yao ni danganya toto, mabasi mengi ya wakubwa hawawezi kudiriki kuyafungia
 
Back
Top Bottom