Vunja viuno haoJeshi la Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, limetoa onyo kwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, wanaohamasisha kufanya vurugu, siku ya ambayo Mwenyekiti wao Taifa, Tundu Lissu anayotarajiwa kupandishwa Mahakamani Aprili 24, 2025.
Jeshi la Polisi limesema litashughulika na kila mmoja atakayeshiriki kufanya vurugu yeyote katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Peleka kiuno kinyooshwe we bwegeTakataka kutoka kwa watumishi wa shetani
No reform no Election
Acha mbwembwe za mtandaoni dogoTunakuj mtuuwe mtufunge kufa ni kitendo cha mala moja Kama ilivo kuzaliw wananch wenzangu msiogop hz sio zana za woga kwa Sasa
We dogo acha kukariri tulia hicho kisomo chako ni kisoda tu, tii mamlakaBasi kama sio lazima iwe sasa why wasijaribu kutumia soft ways to infiltrate the system since they still have time instead of adopting barbaric political manouvre procedures?
Heche anakwambia bora CDM ife 😂😂 sasa huyu ni visionary leader kweli?
Bora ife ikisimamia ukweli, kuliko kuishi ikisimamia uongo. Malizia alichosemaBasi kama sio lazima iwe sasa why wasijaribu kutumia soft ways to infiltrate the system since they still have time instead of adopting barbaric political manouvre procedures?
Heche anakwambia bora CDM ife 😂😂 sasa huyu ni visionary leader kweli?
waaambie ni wapumbavuJeshi la Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, limetoa onyo kwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, wanaohamasisha kufanya vurugu, siku ya ambayo Mwenyekiti wao Taifa, Tundu Lissu anayotarajiwa kupandishwa Mahakamani Aprili 24, 2025.
Jeshi la Polisi limesema litashughulika na kila mmoja atakayeshiriki kufanya vurugu yeyote katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Nenda tu kifo utakipataTunakuj mtuuwe mtufunge kufa ni kitendo cha mala moja Kama ilivo kuzaliw wananch wenzangu msiogop hz sio zana za woga kwa Sasa
Hata mimi nimeliona hiloKwani hizi kazi zina uhusiano gani na watu wenye sura za kutisha 😥
Upo sahihi lakini why afikie kusema hivyo?Bora ife ikisimamia ukweli, kuliko kuishi ikisimamia uongo. Malizia alichosema
Haijalishi. Kikubwa Watu wajitokeze ku show love kwa lissu Mahakamani.Mapema tu utasikia Mheshimiwa aliyepangiwa hii kesi ameugua ghafla
Hawa jamaa ni tawi pia la propaganda la CCM. Wenye kufanya fujo ni polisi wenyeweJeshi la Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, limetoa onyo kwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, wanaohamasisha kufanya vurugu, siku ya ambayo Mwenyekiti wao Taifa, Tundu Lissu anayotarajiwa kupandishwa Mahakamani Aprili 24, 2025.
Jeshi la Polisi limesema litashughulika na kila mmoja atakayeshiriki kufanya vurugu yeyote katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Gari la kumleta mtuhumiwa mahak.amami haipoMapema tu utasikia Mheshimiwa aliyepangiwa hii kesi ameugua ghafla
Siku ya kukamatwa Lisu hadi wale walinzi wake walikimbilia chooni na sokoni chini ya mivungu ya meza za wafanyabiashara sokoniKwa jinsi wafuasi wa Chadema walivyo waoga Kabla kamanda hajaongea tu ilikua hamna mwanachama hata mmoja angejitokeza , hivi alivyoongea ndo siku hiyo hata kazini hawataenda kabisa kwa kuogopa kukamatwa ila hasira watamalizia mtandaoni
Division 0 na 4 sura zao nzito sanaKwani hizi kazi zina uhusiano gani na watu wenye sura za kutisha 😥
Kazi za kiume.Kwani hizi kazi zina uhusiano gani na watu wenye sura za kutisha 😥
HahahaJeshi la Polisi kanda maalum ya Dar Es Salaam, limetoa onyo kwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA, wanaohamasisha kufanya vurugu, siku ya ambayo Mwenyekiti wao Taifa, Tundu Lissu anayotarajiwa kupandishwa Mahakamani Aprili 24, 2025.
Haina mafuta. ......Uzuri TL tuko Gerezani kwa mipango ya Mungu. Ili unabii utimieGari la kumleta mtuhumiwa mahak.amami haipo