Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Sidhani kama umeelewa maudhui ya nilicho andika.Woga kuhusu nini?
Wauaji ni nyie?

Vurugu mnazileta nyie na ombea waandamane hapo hapoJeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeonya wananchi kutojitokeza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24,2025 wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo, likisisitiza atakayejitokeza atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Katazo la Jeshi la Polisi kwa wananchi ni kufuatia wito wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche kuwataka wanachama wa chama hicho na wananchi kufika kwa wingi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24,2025 wakati Mwenyekiti wao Lissu akifikishwa mahakamani kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili.
Heche ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Mbezi, wilaya ya Ubungo Aprili 16,2025 wakati akihutubia mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza, akiwahimiza wananchi hao kufika mahakamani hapo bila kuwa na silaha yeyote wala kufanya fujo bali wabebe vitambaa vyeupe na maji.
Akizungumzia wito huo, leo Aprili 17,2025 jijini Dar es Salaam Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema jeshi hilo limefuatilia mipango ya viongozi wa chama hicho na kubaini siku hiyo kutafanyika vurugu.
Muliro amesema lengo la vurugu hizo ni kushinikiza mamlaka za kisheria kumwachia kiongozi wao ambaye anatuhumiwa.
Wafanyafujo wote wapigwe tu hata wakivunjwa miguu wameyataka wao.Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeonya wananchi kutojitokeza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24,2025 wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo, likisisitiza atakayejitokeza atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Katazo la Jeshi la Polisi kwa wananchi ni kufuatia wito wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche kuwataka wanachama wa chama hicho na wananchi kufika kwa wingi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24,2025 wakati Mwenyekiti wao Lissu akifikishwa mahakamani kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili.
Heche ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Mbezi, wilaya ya Ubungo Aprili 16,2025 wakati akihutubia mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza, akiwahimiza wananchi hao kufika mahakamani hapo bila kuwa na silaha yeyote wala kufanya fujo bali wabebe vitambaa vyeupe na maji.
Akizungumzia wito huo, leo Aprili 17,2025 jijini Dar es Salaam Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema jeshi hilo limefuatilia mipango ya viongozi wa chama hicho na kubaini siku hiyo kutafanyika vurugu.
Muliro amesema lengo la vurugu hizo ni kushinikiza mamlaka za kisheria kumwachia kiongozi wao ambaye anatuhumiwa.
Polisi na wanaowatuma waoga sanaNo reform no election.Maneno tu ya ukweli mnaanza kutumia bunduki
Mimi nitakwenda kusikiliza kesi alizobambikiwa Tundu Lissu nitakwenda Kisutu Mahakamani.Ajabu kabisa.
Yaani wanataka kusema wanasimba kuhamasishana kwenda zenji kuiangalia Simba ikicheza na Stellenbosch tofauti yake na wanachadema kuhamasishana kwenda kusikiliza kesi ya Lissu tofauti yake ni ipi?
Upo sahihi lakini why afikie kusema hivyo?
Wewe kalete fyoko wakupe kipigo nfipo utajua kipigo.wanachokupa ni cha division zero au four au ipiDivision 0 na 4 sura zao nzito sana
Huna kazi nenda tu.ungeluwa na kaxi ya kukuingizia kipato usingeendaMimi nitakwenda kusikiliza kesi alizobambikiwa Tundu Lissu nitakwenda Kisutu Mahakamani.
Kinachohofiwa hapo sio vurugu bali mobilization. Yale yale ya kukataza PRAY FOR LISSUJeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeonya wananchi kutojitokeza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24,2025 wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo, likisisitiza atakayejitokeza atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Katazo la Jeshi la Polisi kwa wananchi ni kufuatia wito wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche kuwataka wanachama wa chama hicho na wananchi kufika kwa wingi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24,2025 wakati Mwenyekiti wao Lissu akifikishwa mahakamani kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili.
Heche ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Mbezi, wilaya ya Ubungo Aprili 16,2025 wakati akihutubia mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza, akiwahimiza wananchi hao kufika mahakamani hapo bila kuwa na silaha yeyote wala kufanya fujo bali wabebe vitambaa vyeupe na maji.
Akizungumzia wito huo, leo Aprili 17,2025 jijini Dar es Salaam Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema jeshi hilo limefuatilia mipango ya viongozi wa chama hicho na kubaini siku hiyo kutafanyika vurugu.
Muliro amesema lengo la vurugu hizo ni kushinikiza mamlaka za kisheria kumwachia kiongozi wao ambaye anatuhumiwa.
Akili zao, ndogo Sana, jeshi zima, kuogopa kikundi, cha, vijana na wanawake!Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeonya wananchi kutojitokeza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24,2025 wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo, likisisitiza atakayejitokeza atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.
Katazo la Jeshi la Polisi kwa wananchi ni kufuatia wito wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche kuwataka wanachama wa chama hicho na wananchi kufika kwa wingi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24,2025 wakati Mwenyekiti wao Lissu akifikishwa mahakamani kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili.
Heche ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Mbezi, wilaya ya Ubungo Aprili 16,2025 wakati akihutubia mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza, akiwahimiza wananchi hao kufika mahakamani hapo bila kuwa na silaha yeyote wala kufanya fujo bali wabebe vitambaa vyeupe na maji.
Akizungumzia wito huo, leo Aprili 17,2025 jijini Dar es Salaam Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema jeshi hilo limefuatilia mipango ya viongozi wa chama hicho na kubaini siku hiyo kutafanyika vurugu.
Muliro amesema lengo la vurugu hizo ni kushinikiza mamlaka za kisheria kumwachia kiongozi wao ambaye anatuhumiwa.
Amani ipi..? Wewe n mk###Hao kunguni wanatakiwa wabanwe korodani hadi zibonyee. hakuna kuchekeana linapokuja suala la amani na usalama wa nchi yetu.