PreGE2025 Jeshi la Polisi latoa onyo wanaopanga kufanya vurugu siku ya kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwani hizi kazi zina uhusiano gani na watu wenye sura za kutisha πŸ˜₯
 
Kwa jinsi wafuasi wa Chadema walivyo waoga Kabla kamanda hajaongea tu ilikua hamna mwanachama hata mmoja angejitokeza , hivi alivyoongea ndo siku hiyo hata kazini hawataenda kabisa kwa kuogopa kukamatwa ila hasira watamalizia mtandaoni
 
Vunja viuno hao
 
Tunakuj mtuuwe mtufunge kufa ni kitendo cha mala moja Kama ilivo kuzaliw wananch wenzangu msiogop hz sio zana za woga kwa Sasa
Acha mbwembwe za mtandaoni dogo
 
We dogo acha kukariri tulia hicho kisomo chako ni kisoda tu, tii mamlaka
 
Bora ife ikisimamia ukweli, kuliko kuishi ikisimamia uongo. Malizia alichosema
 
waaambie ni wapumbavu
 
Tunakuj mtuuwe mtufunge kufa ni kitendo cha mala moja Kama ilivo kuzaliw wananch wenzangu msiogop hz sio zana za woga kwa Sasa
Nenda tu kifo utakipata
Uzuri kifo ukikitafuta huwa hakina hiana kinakujia bila shida

RIP you
 
Hawa jamaa ni tawi pia la propaganda la CCM. Wenye kufanya fujo ni polisi wenyewe
 
Kwa jinsi wafuasi wa Chadema walivyo waoga Kabla kamanda hajaongea tu ilikua hamna mwanachama hata mmoja angejitokeza , hivi alivyoongea ndo siku hiyo hata kazini hawataenda kabisa kwa kuogopa kukamatwa ila hasira watamalizia mtandaoni
Siku ya kukamatwa Lisu hadi wale walinzi wake walikimbilia chooni na sokoni chini ya mivungu ya meza za wafanyabiashara sokoni

Kama kuna vijana wametoka mikoani ingawa kuna taarifa kuwa kuna walioletwa toka nchi fulani jirani waambieni watapotezwa kimoja

Watu wakae mbali na mahakama ya Kisutu siku ya kesi kilkilipuka cha kulipuka vita haina macho kitakachowakuta wasiseme ohh polisi walitumia nguvu isiyo kawaida watakuwa wameyataka

Mtu akipiga kilema au kufa ni yeye na familia yake ndio watalia kama ngedere sio CHADEMA

Waage kabisa kuwa hawatarudi na sala za wafu wazifanye kabisa

Wakipania jeshi la polisi linapania mara mia yao

Na halichukulii tishio lolote kama dogo watatembeza kipigo cha mbwa koko ngedere yeyote atakayezomea hata polisi tu bila bila kurusha hata jiwr
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…