PreGE2025 Jeshi la Polisi latoa onyo wanaopanga kufanya vurugu siku ya kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tunakuj mtuuwe mtufunge kufa ni kitendo cha mala moja Kama ilivo kuzaliw wananch wenzangu msiogop hz sio zana za woga kwa Sasa
Ungekufa siku Mbowe alipoandamana peke yake. Tatizo manyumbu mnajifanya kusahau kama hamna mwelekeo.
 
Kwa jinsi wafuasi wa Chadema walivyo waoga Kabla kamanda hajaongea tu ilikua hamna mwanachama hata mmoja angejitokeza , hivi alivyoongea ndo siku hiyo hata kazini hawataenda kabisa kwa kuogopa kukamatwa ila hasira watamalizia mtandaoni
I beg to differ, haya haya yalikuwepo wakati wa kesi ya mbowe, yet watu walikuja. Usikariri sana
 
Hizo soft ways zimeshatumika sana toka 1995, lakini chaguzi sasa ndio zimekuwa za kishenzi zaidi. Kwa maneno marahisi mnataka watu waendelee kubembeleza wasubiri hisani ya ccm. Ni vyema ife kama itashindwa kutumia njia ya mabavu, kuliko ife kwa kuendelea kutumia njia za kikondoo.
 
Anatafuta kiki ili apande cheo. Wanacdm wataenda kwa wingi mahakamani, yeye kama anataka wapewe imprest kubwa ni vyema atumie mbinu nyingine na sio hii ya usanii.
 
huyu mzee aache uharo
 
Hii safi sana Polisi wameshaingia kwenye mfumo wa Chadema.
 
Tokea lini kwenda kusikiliza Kesi Mahakamani kumekuwa ni jinai?🤔
Je hii Serikali imekuwa ni ya Kifashisti?
Ajabu kabisa.

Yaani wanataka kusema wanasimba kuhamasishana kwenda zenji kuiangalia Simba ikicheza na Stellenbosch tofauti yake na wanachadema kuhamasishana kwenda kusikiliza kesi ya Lissu tofauti yake ni ipi?
 
Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limeonya wananchi kutojitokeza katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24,2025 wakati Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akifikishwa mahakamani hapo, likisisitiza atakayejitokeza atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.


Katazo la Jeshi la Polisi kwa wananchi ni kufuatia wito wa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, John Heche kuwataka wanachama wa chama hicho na wananchi kufika kwa wingi Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Aprili 24,2025 wakati Mwenyekiti wao Lissu akifikishwa mahakamani kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili.


Heche ameyasema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika viwanja vya Mbezi, wilaya ya Ubungo Aprili 16,2025 wakati akihutubia mamia ya wananchi waliofika kumsikiliza, akiwahimiza wananchi hao kufika mahakamani hapo bila kuwa na silaha yeyote wala kufanya fujo bali wabebe vitambaa vyeupe na maji.


 
kwahiyo medhamiria kuwaua wapiga kura wa mama live
 
Hao kunguni wanatakiwa wabanwe korodani hadi zibonyee. hakuna kuchekeana linapokuja suala la amani na usalama wa nchi yetu.
 
No reforms No election.
 
Ingekuwa onyo la kuhakikisha uchsguzi unakuwa huru na haki pamoja na kampeni huru na haki ingependeza zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…