PreGE2025 Jeshi la Polisi latoa onyo wanaopanga kufanya vurugu siku ya kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sasa ndio muingie mtaani mkinukishe si ndio maelekezo ya mkuu wa chama chenu.
 
Hivi huko polisi hakuna mwenye akili timamu? Kwa nini wao wakati wote ni kuropoka tu! Aeleze ni kwa mujibu wa kifungu gani cha sheria watu wanazuiwa kwenda kusikiliza kesi mahakamani.

Huyo mropokaji, aeleze ni wapi wanaoenda kusikiliza kesi wamemwambia kuwa wanaenda kuleta vurugu.
 
Wajinga kama nyie hamuwezi kusikiliza hotuba yote na kuchambua hoja zilizotolewa.
Mnawaza uchawa na mambo ya hovyo na kukalilishwa ujinga kama makasuku
 
Hatimaye Polisi waanza kuwaogopa Wananchi, Hii ni hatua nzuri sana
 
Hivi kuhudhuria mahakamani kusikiliza kesi ya ndg au rafiki yako ni kosa?
 
Moja ya kazi ya hovyo na ya kipuuzi nchini, ni hii ya polisi.
 
Sasa jeshi la polisi linaanza kupotea.
Wawaache watu wakasikilize kesi. Hiyo siyo kosa na haikatazwi kisheria.
Wakianza mambo haya tukio la kukamatwa Lissu litachukua sura mpya na kusababisha vurugu au machafuko.
Muhimu watu wasifanye vurugu.
 
Sasa jeshi la polisi linaanza kupotea.
Wawaache watu wakasikilize kesi. Hiyo siyo kosa na haikatazwi kisheria.
Wakianza mambo haya tukio la kukamatwa Lissu litachukua sura mpya na kusababisha vurugu au machafuko.
Muhimu watu wasifanye vurugu.
Akili yako wakati unaandika hii komenti ilikuwa kwenye "auto pilot"?
 
Kiujumla nchi yetu utwala wa sheria umepotea sasa tupo kwenye utawala watu.Mahakama yenyewe ndio ilipaswa kutoa amri hiyo kwa mujibu wa kifungu cha 186 cha sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai.Tanzania ya sasa polisi hawasimamii sheria bali wao wanegeuka kuwa sheria
 

Attachments

  • 17448943738403968692226251197322.jpg
    999.2 KB · Views: 17
No reform no election.Maneno tu ya ukweli mnaanza kutumia bunduki
Maneno yenye vifungo viwili na Herufi 18 (No reform) (No election) Yanatikisaa Nchi ya Tanzania Hivi Tutafikaga sehemu Tukasema Uchumi wetu ni mzuri angalau Zaidi ya majirani wetu hapo Kenya Kama Serekali,Nchi na Vyombo vya Uuma vinatetemeka Sababu ya Maneno ambayo Wanaeza kufanya Reform kila Mtu apate Haki yake Kwani lazima Wapite Kwa Uwizi?? Ambae apendi kushindwa anashinda ya nini angali Anaibia Nakuvunja Haki za watu Wengine??
Nchi inakera Utajiri tutapata kama tusafiri nchi za Jirani Ila Hapa hapa Nikuchawi Sanaa
 
Kila mtu anamrizisha boss wake ili afurahi,siyo anafanya kazi kwa mipaka yake,Tanzania tuna kazi sana
 
Mbon mkuu huyu mbona ajasomaa vfungu vya sheria vinampa nguvu yeye kutoq onyo lq katqzo
 
Akili yako wakati unaandika hii komenti ilikuwa kwenye "auto pilot"?
Akili yako hujaipa utulivu wakati unasoma comments zangu.
Sijawai kuwa polisi, mtu wa chama chochote au afisa wa serikali.
Nipo neutral. Tanzania kwanza siyo chama kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…