PreGE2025 Jeshi la Polisi latoa onyo wanaopanga kufanya vurugu siku ya kesi ya Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Libibi lioga sana hili, ndo shida ya kukosa akili....mamlaka yote anayo lakini bado hajiamini!
 
Watu wakiwepo wamesimama na Bango na Tisheti na Kuimba Nyimba Ya Taifa.... Kuna shida Gani? Na chaajabu kuna Mtu anaona hio taarifa Ni nzuri kwa mtanzania yoyote inaonyesha ya Kwamba Tuko chini ya Uuma Wala sio Sheria kwani sheria haipingi mwananchi kufanya peaceful protest DUNIAN KOTE Nakuna mtanzania kisa Ni CCM anaona Ni sawa🤬 apo ndo naona Tanzania haitaka Kuachwa kuitwa A Developing Country. kisa IGNORANCE TU. KUJITAMBUA KUNAANZIA KWENYE UBONGOO SIO KUOTA NYWELE SEHEMU ZILIZOJIFICHA NDO UWE UMEJITAMBUA
 
Watu makini wawashauri viongozi wa jeshi letu, tutaharibu kwa tunalotaka kufanya, kuwazuia raia wasio na shida kwenda kusikiliza kesi? Hii itawachafua polisi. Simamieni utulivu ila waacheni wanachama waende kumsindikiza kiongozi wao, huu ndio utamaduni wa utu!
 
Ifikie hatua polisi watumie basi hata elimu yao ndogo ya kidato cha 4,yenye division 4:32.
 
Kwa kauli mbiu yetu ya uchaguzi mkuu 2025
"KAZI NA UTU",
tunaifuata au ni nadharia tu?.
 
Vurugu mnazileta nyie na ombea waandamane hapo hapo
 
Aisee
Nao si waje na slogan yao maana hao watu sidhani Kama watakuwa na binduki.
 
Wafanyafujo wote wapigwe tu hata wakivunjwa miguu wameyataka wao.
 
Ajabu kabisa.

Yaani wanataka kusema wanasimba kuhamasishana kwenda zenji kuiangalia Simba ikicheza na Stellenbosch tofauti yake na wanachadema kuhamasishana kwenda kusikiliza kesi ya Lissu tofauti yake ni ipi?
Mimi nitakwenda kusikiliza kesi alizobambikiwa Tundu Lissu nitakwenda Kisutu Mahakamani.
 
Upo sahihi lakini why afikie kusema hivyo?

..sababu ya dhuluma wanazopitia.

..kuna kauli nyingi sana zinatolewa na wanasiasa ambazo kama kungekuwa na haki na usawa zisingekuwa zinatolewa.

..ukisikiliza wanasiasa wetu unaweza kudhani Tanzania ni nchi ambayo haijapata uhuru.

..hata kauli za vyombo vyetu vya dola zinafanana zaidi na za vyombo vya tawala za kikandamizi na kikoloni.
 
Kinachohofiwa hapo sio vurugu bali mobilization. Yale yale ya kukataza PRAY FOR LISSU
 
Akili zao, ndogo Sana, jeshi zima, kuogopa kikundi, cha, vijana na wanawake!
 
Polisi wawe wastarabu hakuna kikundi kitakachofanya fujo mahakamani waache wananchi wakasikilize kesi ya shujaa wao mzalendo halisi wa nchi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…