Naungana na wewe kwenye kushangaa hilo jambo 🤔🤔Polisi ndio wanaalika watu na sio CCM?🤔
Wakitembea wao km walivyofanya juzi inatosha.Ni matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU
Wananchi wote mnakaribishwa
View attachment 2809917
Hovyo kabisa,nosenseNi matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU
Wananchi wote mnakaribishwa
View attachment 2809917
Pumbavu kabisa hawa Div IV ya point 32Ni matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU
Wananchi wote mnakaribishwa
View attachment 2809917
Polisi ndio wanaalika watu na sio CCM?[emoji848]
Tangu lini jeshi la polisi likajihusisha na mambo ya kisiasa kwa kiwango cha kuhimiza maandamano? Wanaanza kufanya siasa waziwazi kinyume cha katiba!Ni matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU
Wananchi wote mnakaribishwa
View attachment 2809917
Ni maandamano ya amaniWatu wakiandamana kwa vitu vya maana hawataki.
Wanataka tuandamane kwa vitu vya kipuuzi puuzi. 🤣😂
Msizire kila kituNi matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU
Wananchi wote mnakaribishwa
View attachment 2809917
200% correct!Waandamane wenyewe, policcm na buku 7 wa Lumumba + wale wanaonunuliwa na kusombwa na malori