Jeshi la polisi latoa wito kwa wananchi kushiriki maandamano ya kumpongeza Dk. Tulia

Jeshi la polisi latoa wito kwa wananchi kushiriki maandamano ya kumpongeza Dk. Tulia

Wengine ni marafiki zetu wengine ni dada zetu tupo nao mtaani ila kusema ukweli nikimuona askari namuona kama hayupo sawa,,,,ivi mpaka unachagua kuwa askari kipi kinakuvutia hasa kwenye jeshi la polisi,,,,ndio maana kigezo cha kuwa polisi na beki tatu mnatumia vyeti sawa ,,,,
 
POLI-CCM WAANDAMANE na Wa-bonge lao, WENYEWE NA WAWALETEE VURUGU... WAFANYABIASHARA NA WAJASILIAMALI WA NCHI HII.
Hivi u- Rais wa IPU unamsaidia nini mtanzania mnyonge na mlalahoi wa Busokelo??
Urais wa IPU wa kumfunga gerezani mmiliki wa kanisa!
Kwamba Tanzania kufungua kanisa ni kosa la Jinai?
Rais wa IPU anaeishi na fisadi nyumba moja?
Eeh Mungu ichungulie 'EWURA"!
EEeeh Mungu Lichungulie Bunge la "JMT" na useme neno moja tu!
Na Roho zetu zitapona!
AMEN [emoji120]
 
Akili za polisi zimeishia kwenye mambo ya kipuuzi kama haya.
 
Kweli hakika hii ni nchi ya watu wenye ujinga grade one, Nyerere alietuita raia farasi apewe Maua yake!!

Watu kuandamana kuporwa bandari Yao ni kosa kubwa kisheria na hairuhusiwi ila kuandamana kumpongeza Tuliza boli eti ruksa! Akili hizi za kijinga kiwango hiki tumerithi kutoka kwa nani?

Huu utawala wa kinamaza Kila mhimili ni jipu na hakika unadumaza akili za wabongo! I hope by 2030 nchi itarudia Njia sahihi maana sasa hivi tushaingia vichakani na tunazidi kudidimia huko! Tangu lini mama akawa kichwa cha familia na kuongoza wanaume?! Wapi umeona chifu mwanamke? Wapi umeona Mtume mwanamke? Akili za unyagoni ndo hizi na matokeo ya kujaza viongozi wanawake ndo haya! Na Bado!

Yaani umeme shida, ajira sifuri, njaa Kali, magonjwa yanatuandama, maji hamna, petrol bei juu halafu eti tuandamane kupongeza walafi kina Tuliza boli!!

Hakika ujinga wetu umetukuka!!
 
Nina uhakika hatuendi mbele bali tupiga hatua mia kurudi nyuma zaidi.Mungu wetu utuokoe na jinamizi hili
 
Ni matembezi au maandamano ya kumpongeza Tulia kwa kuchaguliwa kuwa rais wa IPU

Wananchi wote mnakaribishwa
View attachment 2809917
Msizire kila kitu
Hii ingekuwa opportunity ya simba kuingia kwenye zizi la ng’ombe mngeweka mabango yanasomeka

*Katiba Mpya ni lazima before 2025
*Tunapinga uuzwaji wa Nchi yetu..Bandari ardhi airports
*Wezi wa mali ya umma woote jela ni yenu
* Polisi acheni kuonea wananchi

Opposition msiwe mnakataa kila jambo
 
Good move na maturity kwa chama changuw CCM kwa kufanya spinning ya maandamani ya mdude kuhusu Bandari na Katiba mpya!!

Sasa nawomba muwaruhusu na wao waandamane Ili kuonyesha demokrasia Duniani!!

Kazi iendelee!!
 
Back
Top Bottom