Jeshi la polisi latolea ufafanuzi tukio la bodaboda kusemekana kutekwa, wasema ni mhalifu aliyekuwa anatafutwa muda mrefu na polisi

Subiri siku hao vibaka wakubamie ndio uwaambie hao mapoliisi wavae uniform kwenda kumkamata kibaka wako. Hapo si kamvamia mtu mwingine sio wewe?
naomba siku wajichanganye kwang ntachinja kima , bila hv hawa polis wenu hawatokuja pata akili , zaman walifanya haya mamb kwa siri siku hz wanafanya hadharani , ccmu na machawa wao wanatuingiza huku ambapo DRC , Somalia , Libyia wamepambana kutoka kwa miaka mingi ila hawawez maana ukiingia huku bas kutoka ni mtihani maana kila mtu anakugeuza fursa , soon kuna watu watapewa silaha nao kupigana dhidi ya ccmu wakidai wanapigania haki zao kama m23 kule DRC .

TETEA HIZ TABIA ILA NIWAKUMBUSHE MKATAFUTE VIWANJA MAPEMA HUKO BURUNDI MAANA SEMAJI LENU LILISHA SEMA MUENDE URUNDI MKALE AMAHOROO
 
Dunia sehemu nyingi polisi baadhi wako hivyo
Polisi hao hao baadhi wanakula na wahalifu na wanawatorosha
Maana si wako kwenye payroll yao

Ova
 
Sasa hapa ndio wanathibitisha kuwa Wao ndio wahusika WA Utekaji, huwezi kumkamata MTU Kwa style Ile Ile na "watekaji"!
 
sijasoma chochote ulichoandika ila nkuambie nmekulia kwenye kambi ya jeshi tangu nazaliwa mpk naanza jitegemea , wanafamilia yang ni wakubwa sana jeshi kote polisi na jeshini .

NMEONA NMESHUHUDIA NA NMESHRIKI NLIKUWA MTETEZ WA HUU UJINGA MPK NLIPOSAFIR KWENDA NJE YA NCHI NKAGUNDUA KUNA MAMB TUMEYAFANYIA MAZOEA IKA KIUTUMISHI SIO SAHIHI , ZAMAN NLIKUWA NASHABIKIA UTEKAJI SABAB HUKO NLIKOKULIA NLIAMINISHWA KUWA YEYEOTE AGAINST CCMU NI ADUI ILA BAADAE NLIVYOKUJA KUWA HURU KIAKILI NKAWA NASIKILIZA CCMU NA WENGINE , CCMU NI ZERO BRAINED POLITICAL PARTY HAPA DUNIANI , NA NDO WALEZI WA HAYA MATUKIO , POLISI MWENYE V ANAPATA WAP UJASIRI WA KUVUNJA SHERIA ZA UTUMISHI KAMA HAYUPO MTU NYUMA YAKE ? RPC HAEZ FANYA JAMBO BILA KUTAMBUA KUWA BOSS WAKE CCMU ANALIUNGA MKONO

MPK SASA WATU 200 hatujui walipo
 
Kama ni mwizi wangempiga na risasi moja ya mguu. Hao wezi wa kwenye pikipiki walishawahi kunipora simu iliyokuwa na mambo yangu mengi sana. Ninalipongeza sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri.
 
Acha kutetea wezi.
 
MPK SASA WATU 200
 
Kama ni mwizi wangempiga na risasi moja ya mguu. Hao wezi wa kwenye pikipiki walishawahi kunipora simu iliyokuwa na mambo yangu mengi sana. Ninalipongeza sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri.
lin umesikia polisi wameshika mwiz wa piki piki ? polisi wakimshika wanamuomba rushwa wanamwachia , hlf wanakwambia hawajamuona
 
Ukifanya uhalifu utakamatwa popote pale bila taarifa ya mwenyekiti wa kitongoji. Tii sheria
 
Embu acha utoto wako hapa. Yaani wewe kila siku unaunga mkono uovu tu Utafikiri na wewe ni mhalifu. Kwanini usiulize sababu ya yule wa pikipiki aliyekuwa anakamatwa kutokutii Amri?
Mtekaji na mkamataji wanatofautianaje?
 
Njia gani wangetumia ndugu mtaalamu?
hv ccmu mmelogwa na nan ? huu ufafanuz wamekuja kuutoa , walipaswa kuutoa eneo la tukio na sio kukimbia na mtu na kusubiri video isambae mitandaoni .

Wapo wametona na majibu yao eneo la tukio na hawatakuwa imani na hili jeshi la ccmu , maana wanashika mtu kama wanaenda muua vile .

UNAPOMSHIKA MTU LZM UWE NA GARO LA POLISI KUEPUSHA TAHARUKI KWENY UMMA PILI LZM UTOE UFAFANUZ KWA UMMA TATU LZM UMPE MTU MUDA WA KUJULISHA NDUGU ZAKE
 
Mhalifu anakamwlatwa na watu waliovyaa kiuni?

CCM imetuchoka!

Wananchi nadhani tuanzishe thread ya kuknyesha maovu yanayofanywa na Serikali iliyopo madarakani kwa kutofuata Sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…