naomba siku wajichanganye kwang ntachinja kima , bila hv hawa polis wenu hawatokuja pata akili , zaman walifanya haya mamb kwa siri siku hz wanafanya hadharani , ccmu na machawa wao wanatuingiza huku ambapo DRC , Somalia , Libyia wamepambana kutoka kwa miaka mingi ila hawawez maana ukiingia huku bas kutoka ni mtihani maana kila mtu anakugeuza fursa , soon kuna watu watapewa silaha nao kupigana dhidi ya ccmu wakidai wanapigania haki zao kama m23 kule DRC .Subiri siku hao vibaka wakubamie ndio uwaambie hao mapoliisi wavae uniform kwenda kumkamata kibaka wako. Hapo si kamvamia mtu mwingine sio wewe?
TETEA HIZ TABIA ILA NIWAKUMBUSHE MKATAFUTE VIWANJA MAPEMA HUKO BURUNDI MAANA SEMAJI LENU LILISHA SEMA MUENDE URUNDI MKALE AMAHOROO