Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #21
Ulitaka abembelezwe?Ukamataji wa kutumia njia ya utekaji haukuwa na lengo jema kwa mkamatwaji, wenye akili tu ndio wananielewa mbumbu kama wewe pita tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka abembelezwe?Ukamataji wa kutumia njia ya utekaji haukuwa na lengo jema kwa mkamatwaji, wenye akili tu ndio wananielewa mbumbu kama wewe pita tu
Video isinge rekodiwa huyo walidhamiria kumpoteza huo ukamatqji mbona haukuwepo zama hizo ?Dhamira ni kumkamata ila yeye kwa sababu alikuwa anajua uhalifu wake ndio maana akawa analeta ubishi wa kujifanya kukataa kubebwa.
Kwani unafikiri aliyekuwa anakamatwa hafahamu kuwa wao ni polisi? Anafahamu sana ila alikuwa anajua arobaini za uhalifu wake zimefika tamati.Weledi wa polisi ni zero kabisa.kama ni mhalifu wangesema kabisa kuwa wao ni polisi wa kituo Fulani ili kuondoa taharuki.Na wawe wanavaa ngua zao rasm.wanaukamataji wa kishamba sana
Kuna mahali nimekataa wakamatwe? Ila wanakamatwa kwa kufuata taratibu?Kwani wangapi wahalifu wanakamatwa? Acha uhalifu kama wewe ni mhalifu.
Ndio wamteke?Ndugu zangu Watanzania,
Jeshi letu la Polisi Nchini limetoa ufafanuzi wa video mjongeo iliyokuwa ikionyesha dereva bodaboda au mtu mwenye pikipiki akikamatwa na watu waliovaa kiraia nakisha baadaye kupakizwa kwenye gari nyeusi na kuondoka naye.
Jeshi letu la polisi limesema tukio hilo lilifanywa na askari wetu kwa mtu huyo ambaye alikuwa ni mhalifu wa makosa mbalimbali ya uporaji kwa kutumia pikipiki.
Kwa hiyo watanzania tuache mihemuko na lawama na kutupa maneno yasiyo na ukweli. Tuwe watu wa subira na kushirikiana na vyombo vyetu vya ulinzi kupata taarifa.
View attachment 3245354
Walimteka sema hizi kelele zimesaidia, pale kuna uongozi VEO/Mwenyekiti kwanini wasiwape taarifa?Jeshi halina credibility ya kuaminika. Kwa nini wasingewatuliza wananchi kisha wakawatoa wasiwasi pamoja na kudhibitisha kwamba ni polisi na tunampeleka kituo fulani?
Wapi alitekwa?Ndio wamteke?
Kwanini hawatoi taarifa kwa uongozi wa mtaa husika? haya ni majangili kabisa hayafaiKuna mahali nimekataa wakamatwe? Ila wanakamatwa kwa kufuata taratibu?
Maana kuna miongozo ya police
Au hiyo miongozo haiwahusu?
Hata wahalifu wanaweza jitangaza ni police piaUjinga ni mzigo ndugu yangu. Kulikuwa na ubaya gani, polisi mmoja anawatangazia wananchi kuwa, "Ndugu wananchi sisi ni polisi msiwe na wasiwasi tunamkamata huyu ni mtuhumiwa" Halafu anatoa kitambulisho kuna ubaya gani?
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja. Hii hoja ipo juu ya uwezo wako. Na kama ilikuwa umepanga kufanya na kujihusisha na vitendo vya uhalifu nakusihi uache mara moja.Walimteka sema hizi kelele zimesaidia, pale kuna uongozi VEO/Mwenyekiti kwanini wasiwape taarifa?
Kwanini hawakujitambulisha kwa hao wananchi? hawa walimteka lakini kelele zimesaidia.So ndio michezo yao hiyo? Wataaminikaje kulingana matukio simalar to hayo?
What if video isingechukuliwa?
Mhalifu ni lazima akamatwe kwa njia yoyote ile na mahali popote pale na kwa mbinu zoteUkamataji wa polisi unahatarisha maisha yao wenyewe
Ndiyo wahalifu wenyewe haoHata wahalifu wanaweza jitangaza ni police pia
KibahaWapi alitekwa?
Je kama alikuwa anafatiliwa tokea buza akakamatwa mbagala wakatoe taarifa kwa uongozi wa mtaa upi.Kwanini hawatoi taarifa kwa uongozi wa mtaa husika? haya ni majangili kabisa hayafai
Wajitambulishe kwa mhalifu anayekimbia?Kwanini hawakujitambulisha kwa hao wananchi? hawa walimteka lakini kelele zimesaidia.