Jeshi la polisi latolea ufafanuzi tukio la bodaboda kusemekana kutekwa, wasema ni mhalifu aliyekuwa anatafutwa muda mrefu na polisi

Weledi wa polisi ni zero kabisa.kama ni mhalifu wangesema kabisa kuwa wao ni polisi wa kituo Fulani ili kuondoa taharuki.Na wawe wanavaa ngua zao rasm.wanaukamataji wa kishamba sana
Kwani unafikiri aliyekuwa anakamatwa hafahamu kuwa wao ni polisi? Anafahamu sana ila alikuwa anajua arobaini za uhalifu wake zimefika tamati.
 
Kwanini hawakuwa na uniform? kesho watekaji nao wakifanya hivyo? sahivi ni ngumu kutofautisha polisi na watekaji? hovyo kabisa, why baada ya kumkamata hawakutoa taarifa kwa VEO/Mwenyekiti wa mtaa? nina wasiwasi sn na hii taarifa nadhani baada ya kusikia kelele nyingine wamemgeuzia kibao. Kama watu walikuwa hapo walishindwa nini kujitambulisha kwa hao watu na kusema wanakompeleka? polisi ya kijinga sn hii
 
Ndio wamteke?
 
Ujinga ni mzigo ndugu yangu. Kulikuwa na ubaya gani, polisi mmoja anawatangazia wananchi kuwa, "Ndugu wananchi sisi ni polisi msiwe na wasiwasi tunamkamata huyu ni mtuhumiwa" Halafu anatoa kitambulisho kuna ubaya gani?
Hata wahalifu wanaweza jitangaza ni police pia
 
Huyo dereva wao asingekua na mguu wa kuku hao askari lazima wangechapika, raia walishaanza kusogea.

Bila shaka hao ndio wale polisi jamii waliojadilowa hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…