jeshi halina magari rasmi ? utukutu gan umeuona kwa huyo boda ambae hata hajui anashikwa kwa kosa gan , wala hana silaha ni swala la pingu na kumweka kweny gari kisha polisi wajitambulishe kwa umma , hii inahitaj mwamposa akuombee ili utambue ? hii wanafundishwa vyuon mwao je kwann hawatii kanuni zao za utumishi ? je mimi raia ninaona hilo tukio naeza amini ni polisi na sio watekaj , je mm raia ninae ona hvyo nina uhakika gan km nipo salama kama ukamatj wenyew ndo huo .
NOTE : Tangu 2023 wanafika watu 200 hatujui walipo , na walishikwa kwa njia hiyo hiyo , je hii kwako ni sahihi ? na jeshi halijawai toka hadharani na kutupa majibu kuhusu Ally Kibao na Soka etc
Mambo ni mengi hii dunia uwanja wa fujo!
Mimi nazungumza hivi maana nnauzoefu na wahalifu tena wengine ni wale konki kabisaaaa
Ntakupa kisa kimoja watu wengi hawakijui ,ilala kulikuwa na kundi linaitwa cha ukucha walisumbua sana ilala,buguruni kigogo mburahati walikuwa watoto lkn washaawatandika sana watu
Wengine hadi kuwatia vilema na wengine walipoteza uhai
Unajuwa mfumo ulikuja uliamuaje
Kuhusu wale watoto ni kuwamalizaaaa tu
Iliundwa kikosi kazi maalum kimya kimya wakawamaliza,mambo ya kudeal na uhalifu kuna wakati inafika serikali yenyewe inawqchoka
Haya nakupa kisa kingine miaka ya 90 alikuwa jambazi mmoja alikuwa anaitwa dar break alitisha sana alipewa onyo ashafungwa miaka 30 anatoka miaka 2 tu njee
Anaendelea na matukiooo
Ashatolewa mpaka kwenye gazeti wanted .......huyo naye walimalizana naye
Haya kuna jambazi mmoja alikuwa anaitwa ramadhani ngonji sasa huyu ndy muanzilishi wa uhalifu wa kutumia pikipiki ashafanya matukio mengi ashafungwa anatoka wanavyotoka wanajuwa wenyewe
Jamaa ashapora sana hadi kuua
Huyu naye ilifika wkt polisi walimalizana naye .......
Hapa naweza kupa list ya watu hata 1000 wakafikaa wa matukiooo...
Point tu wahalifu wengine washashindikqna
Hata huko marekani yule mhalifu alivuma sana miaka ya 69 sjui 50 smbdy dellinger fbi ilibidi itoe warrant ya kumkamata akiwa hai au amekufaaaq
Kuna mijitu mingine dunia hii washashindikana
Ova