Jeshi la polisi latolea ufafanuzi tukio la bodaboda kusemekana kutekwa, wasema ni mhalifu aliyekuwa anatafutwa muda mrefu na polisi

Jeshi la polisi latolea ufafanuzi tukio la bodaboda kusemekana kutekwa, wasema ni mhalifu aliyekuwa anatafutwa muda mrefu na polisi

Tatizo hapa kuna ingiliana mambo mawili siasa na kijamii
Na egemea sana upande wa kijamii na polisi
Narudia tena kuna watu watukutu sana mkuu

Ova
jeshi halina magari rasmi ? utukutu gan umeuona kwa huyo boda ambae hata hajui anashikwa kwa kosa gan , wala hana silaha ni swala la pingu na kumweka kweny gari kisha polisi wajitambulishe kwa umma , hii inahitaj mwamposa akuombee ili utambue ? hii wanafundishwa vyuon mwao je kwann hawatii kanuni zao za utumishi ? je mimi raia ninaona hilo tukio naeza amini ni polisi na sio watekaj , je mm raia ninae ona hvyo nina uhakika gan km nipo salama kama ukamatj wenyew ndo huo .

NOTE : Tangu 2023 wanafika watu 200 hatujui walipo , na walishikwa kwa njia hiyo hiyo , je hii kwako ni sahihi ? na jeshi halijawai toka hadharani na kutupa majibu kuhusu Ally Kibao na Soka etc
 
Utakuta polisi anakamata mtuhumiwa anafungwa magereza alafu anatoka 😄
Haya mambo ya kumalizana na majambazi yalianza tokea enzi za geweee hukooo rpc dar

Ova
Si unaona OCD Bageni alitumia. Udhaifi huo huo Kupora watu Dhahabu na kuwpiga Risasi watu wanne na huku akiwasingizia ni Majambazi?
Sheria ukishaipa Loophole kuna watu wanaitumia vibaya.

Tena wakapata Ujasiri wa kwenda media eti walikuwa wanajibizana Risasi na majambazi hao akina Zombe.
Uongo mtupu.
 
Uko eneo gani tuje tukunukishe mapema tu.
najichanga nkipata mdhamin , naingia chaka , nchi haiez endeshwa hv , lasivyo Kagame atatugeuza fursa kama DRC , tuamke mapema ccmu wanatuingiza shimon
 
Si unaona OCD Bageni alitumia. Udhaifi huo huo Kupora watu Dhahabu na kuwpiga Risasi watu wanne na huku akiwasingizia ni Majambazi?
Sheria ukishaipa Loophole kuna watu wanaitumia vibaya.

Tena wakapata Ujasiri wa kwenda media eti walikuwa wanajibizana Risasi na majambazi hao akina Zombe.
Uongo mtupu.
jeshi limesahau wajibu wake
 
jeshi halina magari rasmi ? utukutu gan umeuona kwa huyo boda ambae hata hajui anashikwa kwa kosa gan , wala hana silaha ni swala la pingu na kumweka kweny gari kisha polisi wajitambulishe kwa umma , hii inahitaj mwamposa akuombee ili utambue ? hii wanafundishwa vyuon mwao je kwann hawatii kanuni zao za utumishi ? je mimi raia ninaona hilo tukio naeza amini ni polisi na sio watekaj , je mm raia ninae ona hvyo nina uhakika gan km nipo salama kama ukamatj wenyew ndo huo .

NOTE : Tangu 2023 wanafika watu 200 hatujui walipo , na walishikwa kwa njia hiyo hiyo , je hii kwako ni sahihi ? na jeshi halijawai toka hadharani na kutupa majibu kuhusu Ally Kibao na Soka etc
Ukamataji ni mwepesi sana kwa askari mwenye nyenzo na anfata taratibu

Tia mtu pingu Mashuhuda wanajua Polisi kutoka wapi, kwa tuhuma fulani na wapi anapelekwa.

Mbona haina shida?

Sema sasa wanataka kutajirikia humo humo ndio mmbo ya kuficha ficha yanaanzia hapo
 
Kwanini hawakuwa na uniform? kesho watekaji nao wakifanya hivyo? sahivi ni ngumu kutofautisha polisi na watekaji? hovyo kabisa, why baada ya kumkamata hawakutoa taarifa kwa VEO/Mwenyekiti wa mtaa? nina wasiwasi sn na hii taarifa nadhani baada ya kusikia kelele nyingine wamemgeuzia kibao. Kama watu walikuwa hapo walishindwa nini kujitambulisha kwa hao watu na kusema wanakompeleka? polisi ya kijinga sn hii
Subiri siku hao vibaka wakubamie ndio uwaambie hao mapoliisi wavae uniform kwenda kumkamata kibaka wako. Hapo si kamvamia mtu mwingine sio wewe?
 
Mimi ningekuwa jirani ningeligonga hiyo gari yao halafu tuone wangeondokaje!
naamin soon kuna kitu chajaa maana ukiona kiza chatanda ujue kunapambazuka , haya matukio ccmu wanafanya yanawaasha watu na inasubiriwa catalyst tu show ianze , watakuwa wanakimbizwa vichochoroni kama walivyowafanyia chadema kweny uchaguz mkuu 2015
 
Kwani wangapi wahalifu wanakamatwa? Acha uhalifu kama wewe ni mhalifu.
Mwanausalama anapomkamata mhalifu Kwa njia za kihalifu naye anakuwa mhalifu....hakuna namna unaweza tetea ukamataji wa namna Ile katikati ya sintofahmu ya utekaji watu inayoendelea....Kwa hiyo polisi aliona atumie jiwe na mwingine kutishia Kwa silaha??
 
Ukamataji ni mwepesi sana kwa askari mwenye nyenzo na anfata taratibu

Tia mtu pingu Mashuhuda wanajua Polisi kutoka wapi, kwa tuhuma fulani na wapi anapelekwa.

Mbona haina shida?

Sema sasa wanataka kutajirikia humo humo ndio mmbo ya kuficha ficha yanaanzia hapo
yaan nkiitizaman nchi yangu naumia sana , kuna muda mtu unawaza uingie chaka ukawe Rambo tu , hawa jamaa wametudharau sana , huku kwetu kolomije umeme unakatika kama kiuno cha mkongo , hakuna taarifa , Kibriiiii kimetanda kweny vichwa vya wana ccmu , na huu ni mwaka wa uchaguz hata hawana muda na kuigiza utakatifu sipati picha uchaguz ukiisha watawateka hadi machawa wao
 
Mwanausalama anapomkamata mhalifu Kwa njia za kihalifu naye anakuwa mhalifu....hakuna namna unaweza tetea ukamataji wa namna Ile katikati ya sintofahmu ya utekaji watu inayoendelea....Kwa hiyo polisi aliona atumie jiwe na mwingine kutishia Kwa silaha??
huyo mwashambwa kichwan ni box , watu kama hao ndo wanafanya waafrika tuonekane wehu , kumbe ni wachache tu miongon mwetu ndo wehu
 
jeshi halina magari rasmi ? utukutu gan umeuona kwa huyo boda ambae hata hajui anashikwa kwa kosa gan , wala hana silaha ni swala la pingu na kumweka kweny gari kisha polisi wajitambulishe kwa umma , hii inahitaj mwamposa akuombee ili utambue ? hii wanafundishwa vyuon mwao je kwann hawatii kanuni zao za utumishi ? je mimi raia ninaona hilo tukio naeza amini ni polisi na sio watekaj , je mm raia ninae ona hvyo nina uhakika gan km nipo salama kama ukamatj wenyew ndo huo .

NOTE : Tangu 2023 wanafika watu 200 hatujui walipo , na walishikwa kwa njia hiyo hiyo , je hii kwako ni sahihi ? na jeshi halijawai toka hadharani na kutupa majibu kuhusu Ally Kibao na Soka etc
Mambo ni mengi hii dunia uwanja wa fujo!
Mimi nazungumza hivi maana nnauzoefu na wahalifu tena wengine ni wale konki kabisaaaa

Ntakupa kisa kimoja watu wengi hawakijui ,ilala kulikuwa na kundi linaitwa cha ukucha walisumbua sana ilala,buguruni kigogo mburahati walikuwa watoto lkn washaawatandika sana watu
Wengine hadi kuwatia vilema na wengine walipoteza uhai
Unajuwa mfumo ulikuja uliamuaje
Kuhusu wale watoto ni kuwamalizaaaa tu
Iliundwa kikosi kazi maalum kimya kimya wakawamaliza,mambo ya kudeal na uhalifu kuna wakati inafika serikali yenyewe inawqchoka
Haya nakupa kisa kingine miaka ya 90 alikuwa jambazi mmoja alikuwa anaitwa dar break alitisha sana alipewa onyo ashafungwa miaka 30 anatoka miaka 2 tu njee
Anaendelea na matukiooo
Ashatolewa mpaka kwenye gazeti wanted .......huyo naye walimalizana naye
Haya kuna jambazi mmoja alikuwa anaitwa ramadhani ngonji sasa huyu ndy muanzilishi wa uhalifu wa kutumia pikipiki ashafanya matukio mengi ashafungwa anatoka wanavyotoka wanajuwa wenyewe
Jamaa ashapora sana hadi kuua
Huyu naye ilifika wkt polisi walimalizana naye .......
Hapa naweza kupa list ya watu hata 1000 wakafikaa wa matukiooo...
Point tu wahalifu wengine washashindikqna
Hata huko marekani yule mhalifu alivuma sana miaka ya 69 sjui 50 smbdy dellinger fbi ilibidi itoe warrant ya kumkamata akiwa hai au amekufaaaq
Kuna mijitu mingine dunia hii washashindikana

Ova
 
Yaani siku hizi ni ngumu sana kumjua mtekaji na Polisi.

Wote wameungana kwenye mbinu

Uvccm tu wakijikusanya wanakufata wanakwambia sisi nni afisa wa Polisi au Usalama

Imetoka hiyo unaokotw Ununio
Sasa kwasisi tunaotembea na Glock tusijekulaumiwa.
 
Back
Top Bottom