Polisi ndio wanakamata watu kwa mtindo huo siku hizi?Acha uhuni wewe. Yule mhalifu alionyeshwa vyote na alijua ni polisi lakini alikuwa akigoma kupanda kwa sababu alijua mwisho wake wa uhalifu umefikia tamati.
Mtu aonyeshwe kitambulisho agome?
Angalia hao askari[vibaka] walivyovaa kichekibobu kuna mtu atakubali kukamatwa nao kirahisi?