Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #321
Ulitaka akamatwaje mtu anayekaidi amri halali ?Hujajibu swali mhalifu ndio anakamatwa hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulitaka akamatwaje mtu anayekaidi amri halali ?Hujajibu swali mhalifu ndio anakamatwa hivyo?
Huyo ni mhalifu wa kupora watu vitu vyao.
Wewe ujinga ulionao ni beyond repair nilikuwekea link ya YouTube yenye clip ya huyo kijana akisimulia kuanzia mwanzo ilikuwaje, hujaisikiliza umedandia kureply hapaUlitaka akamatwaje mtu anayekaidi amri halali ?
Serikali ipi hiyo yenye mkono mrefu? Serikali hii hii ya Samia?Kama wewe ni mhalifu nakusihi uache mara moja . Maana mkono wa serikali ni mrefu sana na utakufikia popote pale utakapokuwa.
muuguzi au daktari ambaye hana weled na ujuz huwa hajiamin na kaz yake na hutumia ukali kukueleza jambo.Ujinga ni mzigo ndugu yangu. Kulikuwa na ubaya gani, polisi mmoja anawatangazia wananchi kuwa, "Ndugu wananchi sisi ni polisi msiwe na wasiwasi tunamkamata huyu ni mtuhumiwa" Halafu anatoa kitambulisho kuna ubaya gani?
Yani Kuna machawa wanajifanya hawaoni haya brother.Serikali ipi hiyo yenye mkono mrefu? Serikali hii hii ya Samia?
Mbona mpaka leo hawajawakamata wauwaji wa Mzee Kibao? Waliompiga risasi Lissu mpaka leo wana randa randa mjini!