Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Tumemuagiza na yeye alambe asali kama Mbowe. Kisha ikifika uchaguzi mumshinde, ila kihalali. Hapo nadhani sonona yako itaisha.Mbowe alilamba asali akawa anamchekea Samia vipi Lissu kachukua hatua gani?