Pre GE2025 Jeshi la Polisi lazingira Ofisi ya Makao Makuu CHADEMA Mikocheni na kuzuia Mkutano wa Mnyika na Waandishi wa Habari

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe alilamba asali akawa anamchekea Samia vipi Lissu kachukua hatua gani?
Tumemuagiza na yeye alambe asali kama Mbowe. Kisha ikifika uchaguzi mumshinde, ila kihalali. Hapo nadhani sonona yako itaisha.
 
Hiyo press na huo mkutano vinaingiliana vipi mpaka polisi wakimbilie kunako ofisi za chadema kuzuia? Wangeacha tu maana media zipo nyingi na zina uwezo wa ku cover matukio yote mawili kwa wakati mmoja
Wanajua cdm wana mvuto, hivyo wanahofia huo mkutano wao kukosa attention.
 
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.

View attachment 3215420

Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.

View attachment 3215428

Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.

View attachment 3215422
View attachment 3215487
Pia, Soma: Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika kuongea na Waadishi wa Habari Makao Makuu ya Chama, Mikocheni
Hili ni shambulizi dhidi ya demokrasia, ni mtihani kwa lissu pia kama mwenyekiti mpya
 
Huna uwezo wa kunipa darasa,kilichofanyika ni woga tu wa CCM. Press ya Katibu mkuu wa Chadema haiwezi ku jeopardise usalama wa nchi,hizo cheap propaganda waambie watoto wadogo. Tumewazoea kutumia polisi kuhujumu shughuli za kisiasa za wapinzani.
Akili fupi sikiliza kwan CDM wamefanya press ngap na hawajazuiliwa? we hujiulizi kwann hii? kwan wakifanya tarehe 29 kuna nn? Wafanyakaz na wanafunzi wote hawakwend makzini na mashulen ila atokee mtu mmoja kashiba huko anataka Kiki aweke press na unataka achekewe utakua umeshiba bang sio bure
 
Baki na haya maelezo yako uchwara mwenyewe na siasa zenu za ujima. Wacheni hofu za kitoto. Unafikiri watu wote wana akili mgando kama za nyie misukule ya CCM.
 
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.

View attachment 3215420

Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.

View attachment 3215428

Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.

View attachment 3215422
View attachment 3215487
Pia, Soma: Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika kuongea na Waadishi wa Habari Makao Makuu ya Chama, Mikocheni
Hili jeshi la kise.nge sana
 
tundu lisu ndiyo kawatuma, huyo jamaa ni snitch from get go …
 
Lissu kamtukana sana Mbowe kuwa alikua legelege na mlamba asali…. Kapanua sana domo kuonesha wenzie hawakua chochote CDM so ni zamu yake kuonesha umwamba!!
We mwanamke safari hii kazi unayo, sio kwa sonona hii😂
 
Screenshot 2025-01-27 141920.png

Duh kumbe ni polisi, wakiwa hivi hawajulikani kabisa.
 
Mbona mnahamisha magoli? Hamkutaka tuhoji? Jibuni maswali kima nyie sio mnafuga matumbo tu
Unapotaka kuhoji basi onyesha una akili na swali lako lina chembe ya akili siyo kama wanawake wanaosutana.

Tukio limetokea chini ya saa moja kwa polisi kuzuia mkutano wa Mnyika, nusu saa baadae kuna chizi anauliza Lissu kachukua hatua gani, huoni ni dalili za matatizo ya akili?
 
Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezuia mkutano wa waandishi wa habari wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema John Mnyika uliopangwa kufanyika leo Jumatatu 27/1/2025 saa tano asubuhi.

View attachment 3215420

Nje ya jengo la Makao Makuu hayo wapo askari wa jeshi la polisi kwa taarifa tulizonazo waandishi wa Jambo TV, Azam TV, Mwananchi wamezuiwa na kuondolewa eneo hilo.

View attachment 3215428

Aidha sababu zinazoelezwa juu ya kuzuiwa kwa mkutano huo inadaiwa ni uwepo wa Mkutano wa Kimataifa wa Nishati (M300). Huku ikielezwa kuwa mkutano huo wa CHADEMA ungeweza kusogezwa mbele na kufanyika kuanzia tarehe 29.

View attachment 3215422
View attachment 3215487
Pia, Soma: Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika kuongea na Waadishi wa Habari Makao Makuu ya Chama, Mikocheni
Duh hii kali Sana😁😁😁
 
Back
Top Bottom