DogoWaNjombe
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 3,284
- 7,708
Video: Jambo TV
Wakaidi kama hawa ni kuchapa fimbo tuJeshi la Polisi limezuia mkusanyiko wa waumini wa Kanisa la Ufufuo na Uzima la Askofu Gwajima waliokusanyika kufanya ibada pembezoni mwa barabara karibu na lililopo kanisa hilo Ubungo Kibo.
Video: Jambo TV