Tuliosema warudishe posho wabunge wa chadema waliojifanya wako Lockdown hatukukosea wako Dar wanajirusha Mbowe huyo yuko Dar hayuko dodoma
Huyu nae kwa nini hasifanye live streaming kwenye internet applications?
Mbowe ni msanii tu.......alishajua atakamatwa na polisi kufuatia lile agizo la RC Makonda.
Kweli kama alikuwa na intention ya kutupatia ujumbe wowote ule wenye tija angetumia hata mitandao kufikisha ujumbe wake. Kwa nyakati hizi kwenda kwenye public places kutoa ujumbe ni kitu kigumu sana.Huyu nae kwa nini hasifanye live streaming kwenye internet applications?
Wewe ukiambiwa unatakiwa kuripoti polisi sasa hivi utaendelea na mkutano? Tupo kwenye uongozi mbovu sana wa nchi na inabidi watu waombe Mungu sana manake tunaelekea sipo.
Si alisema yupo karantini dodoma?Hakuna sheria inayozuia mkutano wa kisiasa
Huo ni usanii wa Serikali inayoogopa kwa kuwa imechokwa