Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbowe, atakiwa kuripoti Polisi Kinondoni

Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbowe, atakiwa kuripoti Polisi Kinondoni

Ataenda "KUFUNGWA LOCK UP MOJA" na "WAGONJWA WA COVID-19". Hii serikali ya jiwe ni ya kinyama sana.

Ni haki kabisa alijiona yeye ni malaika, akawaambia watu fulani "WATAISHI KAMA MASHETANI", sasa damu zilizomwagika kwa mikono yake mungu kamgeuza yeye ndio "ANAISHI KAMA SHETANI" (Anaishi kwa kujificha, hana rafiki, muongo kupindukia, kila miradi anayofanya inakwama, kila anachokigusa kwa mikono yake kinaharibika na kinalaanika, dunia inamchukia kama shetani, taifa linamchukia, nchi za SADC na EAC wanamuona kama shetani/adui mkubwa kuliko umasikini).

Mungu endelea kumnyoosha mpaka mke na watoto wake wamchukie, apate na maambukizi ya Covid-19 ili ajue watu wanavyoteseka.
 
Nilichogundua hakuna kitu kinauma kama kama maneno mpaka polisi wanazuia kusema na kuna watu wanashangilia haya aisee haya Wazalendo ni wakati wenu wa kusema huu semeni ......
 
Siasa za awamu ya 5 ni kiboko!! Inatakiwa uwe na roho ya paka kuzifanya maana huku kuna bashite huku kuna jiwe huku kuna mzee wa milembe wa bakora.
 
Lakini mbona alisema yupo karantinj Dodoma? Na akasisitiza hawatasafiri
Ataenda "KUFUNGWA LOCK UP MOJA" na "WAGONJWA WA COVID-19".

Hii serikali ya jiwe ni ya kinyama sana. Ni haki kambisa yule aliowaambia watu fulani "WATAISHI KAMA MASHETANI", sasa mungu kamfanya yeye ndio "ANAISHI KAMA SHETANI".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu nae kwa nini hasifanye live streaming kwenye internet applications?
Nashangaa ila mkutano wa kuwavua uanachama hakina Silinde walifanya video conference.

Nahisi alijua akifanya mubashara kwenye mitandao ya kijamii kesho hatokuwepo front PAGE ya magazeti,si unajua siasa MAJITAKA zilivyo mkuu.
 
Kwani Yuko dar au dodoma?
Kama yuko dar,anaweza kuwekwa lokapu
 
Back
Top Bottom