Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Au apewe kesi ya madawa ya kulevyaKwani siku 14 za quarantine zimeisha? Huyu Mbowe anatakiwa kushughulikiwa kisheria and accordingly!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au apewe kesi ya madawa ya kulevyaKwani siku 14 za quarantine zimeisha? Huyu Mbowe anatakiwa kushughulikiwa kisheria and accordingly!
Huyo repatriation tu ya kuondolewa Dar na kutupwa mpakani na Pwani inamtosha!Au apewe kesi ya madawa ya kulevya
Ni kwa nini yuko Dar? Hamuoni kuwa mnaonekana vituko mbele ya watu wanaojielewa! Aliyetangaza karantini Dodoma ni nani? Hiki chama ina maana hakina strategists wa kuwashauri?Hakuna sheria inayozuia mkutano wa kisiasa
Huo ni usanii wa Serikali inayoogopa kwa kuwa imechokwa
Akina Wema sepetu, Harmonize na Hamisa Mobetto hivi Karibuni Wamefanya Mikutano na Waandishi wa Habari Hatujaona Polisi WakiwazuiaWaziri Mkuu jana alikagua ujenzi wa Jengo la Tume ya Uchaguzi Dodoma huku akiwa na rundo la watu mbali na waandishi wa habari ila hatukusia Polisi wakimzuia.
Ameenda kwenye Press conferenceNi kwa nini yuko Dar? Hamuoni kuwa mnaonekana vituko mbele ya watu wanaojielewa! Aliyetangaza karantini Dodoma ni nani? Hiki chama ina maana hakina strategists wa kuwashauri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema kwa kuvunja sheria hawajambo
Dah[emoji23][emoji23][emoji23]Cha kufanya mkusanyiko
Wewe umejuaje kavunja sheria?Chadema Kwa kuvunja sheria hawajambo
Wewe umejuaje kavunja sheria?
mama wawili
Tuliosema warudishe posho wabunge wa chadema waliojifanya wako Lockdown hatukukosea wako Dar wanajirusha Mbowe huyo yuko Dar hayuko dodoma
Chadema kwa kuvunja sheria hawajambo