Jeshi la Polisi lazuia mkutano wa Mbowe, atakiwa kuripoti Polisi Kinondoni

Tuliosema warudishe posho wabunge wa chadema waliojifanya wako Lockdown hatukukosea wako Dar wanajirusha Mbowe huyo yuko Dar hayuko dodoma
Mbona wabunge wa CCM wapo mitaani hawarudishi posho
 
Mzee wa Milembe ni nani?
Chadema waende UN waende kwenye taasisi zote za haki za binadamu wamshitaki spika kwenye mabunge yote makubwa Duniani waishitaki Serikali ya CCM bila kifanya hivyo watambue kuwa mwakani CCM itawavuruga na kubakia kuwa kama TLP
 
Kwani yupo DSM au Dodoma?
Kama yupo dsm maana yake kashindwa kwenda bungeni ila yupo dsm anafanya siasa kwenye mji wa mr mahips?
 
Spika hataki warudi Bungeni waende Dodoma kufanya nini
 
Mkutano wa M/kiti wa Chadema, Freeman Mbowe uliokuwa ufanyike mubashara hii leo Mei 14, 2020 kwa lengo la kuzungumza na umma, hautafanyika kwa kuwa Mbowe ametakiwa kuripoti katika kituo cha Polisi cha Oyster Bay.

Mkutano huu umehairishwa baada ya Mkiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe wakati akijiandaa kuelekea kuanza mkutano huo, alipokea wito wa Jeshi la Polisi nchini kumtaka akaripoti Kituo cha Polisi, Polisi hawakusema sababu ya wito huo. Mhe. Mbowe ameambatana na wakili.

POLISI WA TANZANIA wanatumiwa na BASHITE kama DUREX
 
Mkutano wa M/kiti wa Chadema, Freeman Mbowe uliokuwa ufanyike mubashara hii leo Mei 14, 2020 kwa lengo la kuzungumza na umma, hautafanyika kwa kuwa Mbowe ametakiwa kuripoti katika kituo cha Polisi cha Oyster Bay.

Mkutano huu umehairishwa baada ya Mkiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe wakati akijiandaa kuelekea kuanza mkutano huo, alipokea wito wa Jeshi la Polisi nchini kumtaka akaripoti Kituo cha Polisi, Polisi hawakusema sababu ya wito huo. Mhe. Mbowe ameambatana na wakili.

Kuingia bungeni lockdown

Mkutano no lockdown.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkutano wa M/kiti wa Chadema, Freeman Mbowe uliokuwa ufanyike mubashara hii leo Mei 14, 2020 kwa lengo la kuzungumza na umma, hautafanyika kwa kuwa Mbowe ametakiwa kuripoti katika kituo cha Polisi cha Oyster Bay.

Mkutano huu umehairishwa baada ya Mkiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe wakati akijiandaa kuelekea kuanza mkutano huo, alipokea wito wa Jeshi la Polisi nchini kumtaka akaripoti Kituo cha Polisi, Polisi hawakusema sababu ya wito huo. Mhe. Mbowe ameambatana na wakili.

Policcm
 
Back
Top Bottom