DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Police awajitambui sijui kwakuwa wengi wao wamebashite
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana wamelipopoa mawe Prado jipya la Nccr Mageuzi huko tarime. Huo ni uvunjifu wa sheria.Sheria gani?
Washashi ukiwapelekea upuuzi silaha za jadi zitakuhusuJana wamelipopoa mawe Prado jipya la Nccr Mageuzi huko tarime. Huo ni uvunjifu wa sheria.
Mbona wabunge wa CCM wapo mitaani hawarudishi poshoTuliosema warudishe posho wabunge wa chadema waliojifanya wako Lockdown hatukukosea wako Dar wanajirusha Mbowe huyo yuko Dar hayuko dodoma
Mzee wa Milembe ni nani?Siasa za awamu ya 5 ni kiboko!! Inatakiwa uwe na roho ya paka kuzifanya maana huku kuna bashite huku kuna jiwe huku kuna mzee wa milembe wa bakora.
Chadema waende UN waende kwenye taasisi zote za haki za binadamu wamshitaki spika kwenye mabunge yote makubwa Duniani waishitaki Serikali ya CCM bila kifanya hivyo watambue kuwa mwakani CCM itawavuruga na kubakia kuwa kama TLPMzee wa Milembe ni nani?
Spika hataki warudi Bungeni waende Dodoma kufanya niniKwani yupo DSM au Dodoma?
Kama yupo dsm maana yake kashindwa kwenda bungeni ila yupo dsm anafanya siasa kwenye mji wa mr mahips?
POLISI WA TANZANIA wanatumiwa na BASHITE kama DUREXMkutano wa M/kiti wa Chadema, Freeman Mbowe uliokuwa ufanyike mubashara hii leo Mei 14, 2020 kwa lengo la kuzungumza na umma, hautafanyika kwa kuwa Mbowe ametakiwa kuripoti katika kituo cha Polisi cha Oyster Bay.
Mkutano huu umehairishwa baada ya Mkiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe wakati akijiandaa kuelekea kuanza mkutano huo, alipokea wito wa Jeshi la Polisi nchini kumtaka akaripoti Kituo cha Polisi, Polisi hawakusema sababu ya wito huo. Mhe. Mbowe ameambatana na wakili.
Mbona NCCR wanafanya ya kupokea wanachama toka Chadema!
Mwanzoni nilijua kuwa mtu ndo anatakiwa kuwa na hofu na serikali. Lakini serikali saiv ndo ina hofu na watu.
Mawazo hayajawahi kupelekwa Osterbay - Nyerere
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuingia bungeni lockdownMkutano wa M/kiti wa Chadema, Freeman Mbowe uliokuwa ufanyike mubashara hii leo Mei 14, 2020 kwa lengo la kuzungumza na umma, hautafanyika kwa kuwa Mbowe ametakiwa kuripoti katika kituo cha Polisi cha Oyster Bay.
Mkutano huu umehairishwa baada ya Mkiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe wakati akijiandaa kuelekea kuanza mkutano huo, alipokea wito wa Jeshi la Polisi nchini kumtaka akaripoti Kituo cha Polisi, Polisi hawakusema sababu ya wito huo. Mhe. Mbowe ameambatana na wakili.
PoliccmMkutano wa M/kiti wa Chadema, Freeman Mbowe uliokuwa ufanyike mubashara hii leo Mei 14, 2020 kwa lengo la kuzungumza na umma, hautafanyika kwa kuwa Mbowe ametakiwa kuripoti katika kituo cha Polisi cha Oyster Bay.
Mkutano huu umehairishwa baada ya Mkiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe wakati akijiandaa kuelekea kuanza mkutano huo, alipokea wito wa Jeshi la Polisi nchini kumtaka akaripoti Kituo cha Polisi, Polisi hawakusema sababu ya wito huo. Mhe. Mbowe ameambatana na wakili.
Eti amejikarantini, ha ha ha.
Ule wa NCCR kupokea wanachama toka Chadema? Tena ulifanyika mara mbili bila kikwazo chochote.Usimfananishe Rais na na mwenyekiti wa sacos
Huu sii muda wa siasa