Jeshi la Polisi lianze kupokea Taarifa za kupotea kwa watu ndani ya masaa 14 hasa watoto

Jeshi la Polisi lianze kupokea Taarifa za kupotea kwa watu ndani ya masaa 14 hasa watoto

The Legacy

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2022
Posts
5,879
Reaction score
11,318
Niko mikononi mwa Polisi Maisha yangu bado ni mikosi wote itikieni Afandee….

Wanabodi nianze kusema binafsi sifutahishwi na huu utaratibu wa polisi kusema mtu akipotea hawapokei taarifa chini ya masaa 24 tangu mtu amepotea.
Huenda ndani ya masaa hayo jitihada zikafanyika na mtu akaokolewa uhai wake hususani watoto.

Sioni mantiki kwamba chini ya masaa 24 mtoto atakua hajapotea? Ni akili ya wapi hii sasa ni kwanini tunajeshi la watu wavivu kufikiria kiasi hiki.
Mwenye ujuzi Au sababu muhimu Naomba maelezo.
 
Back
Top Bottom