Jeshi la Polisi lianze uchunguzi kwa kuwahoji waliokuwemo kwenye basi moja na Ali Kibao, walioona tukio la kutekwa

Mystery

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
15,843
Reaction score
31,057
Hilo tukio la kutekwa Kwa Mzee Kibao halikufanywa sirini, limefanywa mchana kweupe na hao watekaji Wala hawakuwa na hofu, kwa kuwa walimshusha toka Kwenye Bus la Tashriff, lililokuwa linaelekea Tanga, eneo la Tegeta Kibo complex.

Mashuhuda wa tukio Hilo la kutekwa Kwa Mzee Kibao na hatimaye kuteswa na kuuawa kinyama, walijitambulisha kama ni askari Polisi waliovaa kiraia.

Sasa kama kweli Jeshi letu la Polisi litakuwa "serious" kabla ya jioni ya leo, litakuwa limewakamata watu wote waliohusika na unyama wa hali ya juu wa kumteka Mzee wetu Kibao na baadaye kumpiga sana Hadi kumuua na kummwagia tindikali usoni Iii asitambulike.

- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo

Hao watekaji walikuwa na machine gun, pingu, vitu ambavyo ni katika vyombo vya usalama nchini, ambavyo wanavimiliki.

Bila shaka yoyote, mashuhuda waliziona hizo gari za watekaji, Kwa kuwa tukio lenyewe lilifanyika mchana kweupe Kwa hiyo wapo baadhi ya mashuhuda walizikopi "number plate" za magari hayo, Kwa hiyo itakuwa kazi rahisi kufuatilia ni nani mmiliki wa gari hizo.

Hata hivyo Ili uchunguzi huo usivurugwe tunamuomba Rais Samia, achukue hatua ya dharula ya kuwafuta kazi mara moja, IGP Wambura na Kamanda wa Polisi wa Kanda maalum ya Dar, afande Muliro, kwa kuwa kuendelea kuwepo kazini kwa maafandec hao kutavuruga uchunguzi wa tukio Hilo baya kabisa, Kwa kuwa wao Police ni "main suspects" wa huo utekaji.

Mungu ibariki Tanzania
 
Kwenye misafara mikuu hayo magari meupe yaliyo tajwa huwa yanakuwepo na mengine hayana vibati vya namba za usajili isipokuwa yanaandikwa ubavuni. Sasa hapo wanachunguza nini?
 
Hilo tukio la kutekwa Kwa Mzee Kibao halikufanywa sirini, limefanywa mchana kweupe na hao watekaji Wala hawakuwa na hofu, Kwa kuwa walimshusha toka Kwenye Bus la Tashriff, lililokuws linaelekea Tanga, eneo la Tegeta Kibo complex.

Mashuhuda wa tukio Hilo la kutekwa Kwa Mzee Kibao na hatimaye kuteswa na kuuawa kinyama, walijitambulisha kama ni askari Polisi waliovaa kiraia.

Sasa kama kweli Jeshi letu la Polisi litakuwa "serious" kabla ya jioni ya leo, litakuwa limewakamata watu wote waliohusika na unyama wa hali ya juu wa kumteka Mzee wetu Kibao na baadaye kumpiga sana Hadi kumuua na kummwagia tindikali usoni Iii asitambulike.

Hao watekaji walikuwa na machine gun, pingu, vitu ambavyo ni katika vyombo vya usalama nchini, ambavyo wanavimiliki.

Bila shaka yoyote, mashuhuda waliziona hizo gari za watekaji, Kwa kuwa tukio lenyewe lilifanyika mchana kweupe Kwa hiyo wapo baadhi ya mashuhuda walizikopi "number plate" za magari hayo, Kwa hiyo itakuwa kazi rahisi kufuatilia ni nani mmiliki wa gari hizo.

Hata hivyo Ili uchunguzi huo usivurugwe tunamuomba Rais Samia, achukue hatua ya dharula ya kuwafuta kazi mara moja, IGP Wambura na Kamanda wa Polisi wa Kanda maalum ya Dar, afande Muliro, Kwa kuwa kuendelea kuwepo kazini Kwa maafandec hao kutavuruga uchunguzi wa tukio Hilo baya kabisa, Kwa kuwa wao Police ni "main suspects" wa huo utekaji.

Mungu ibariki Tanzania
NAONA HAO WATEKAJI WANAJIAMINI SANA.YANI MTU UMTEKE MCHANA KWEUPE KWENYE GARI LA ABIRIA THEN AKOTWE AMEKUFA? KIBURI HAKISAIDII.AUAE KWA UPANGA ATAKUFA KWA UPANGA
 
P
Hilo tukio la kutekwa Kwa Mzee Kibao halikufanywa sirini, limefanywa mchana kweupe na hao watekaji Wala hawakuwa na hofu, Kwa kuwa walimshusha toka Kwenye Bus la Tashriff, lililokuws linaelekea Tanga, eneo la Tegeta Kibo complex.

Mashuhuda wa tukio Hilo la kutekwa Kwa Mzee Kibao na hatimaye kuteswa na kuuawa kinyama, walijitambulisha kama ni askari Polisi waliovaa kiraia.

Sasa kama kweli Jeshi letu la Polisi litakuwa "serious" kabla ya jioni ya leo, litakuwa limewakamata watu wote waliohusika na unyama wa hali ya juu wa kumteka Mzee wetu Kibao na baadaye kumpiga sana Hadi kumuua na kummwagia tindikali usoni Iii asitambulike.

Hao watekaji walikuwa na machine gun, pingu, vitu ambavyo ni katika vyombo vya usalama nchini, ambavyo wanavimiliki.

Bila shaka yoyote, mashuhuda waliziona hizo gari za watekaji, Kwa kuwa tukio lenyewe lilifanyika mchana kweupe Kwa hiyo wapo baadhi ya mashuhuda walizikopi "number plate" za magari hayo, Kwa hiyo itakuwa kazi rahisi kufuatilia ni nani mmiliki wa gari hizo.

Hata hivyo Ili uchunguzi huo usivurugwe tunamuomba Rais Samia, achukue hatua ya dharula ya kuwafuta kazi mara moja, IGP Wambura na Kamanda wa Polisi wa Kanda maalum ya Dar, afande Muliro, Kwa kuwa kuendelea kuwepo kazini Kwa maafandec hao kutavuruga uchunguzi wa tukio Hilo baya kabisa, Kwa kuwa wao Police ni "main suspects" wa huo utekaji.

Mungu ibariki Tanzania
 
Huwa nashangaa sana kulihimiza jeshi ka polisi kuingilia kati hilo swala wakati wenyewe ndio wahusika na wanayajua dhahiri matukio ya namna hiyo yanatendwa na akina nani
 
sasa kama siyo ushamba ,mtu nakuambia mimi ni askali police ,hana yunifomu,hana kitambulisho,nawe unakubari kirahisi tu ? wananchi tujirinde
sasa mkuu utafanya nini mbele ya wajuba wanne alafu wawili wana SMG.. ni rahisi kuyaongea kwa ujasiri hayo maneno yako nyuma ya keybord ila ukija live ni habari nyingine mzee omba yasikukute!
 
Jeshi la Polisi lianze uchunguzi kwa kuwahoji waliokuwemo kwenye basi moja na Ali Kibao, walioona tukio la kutekwa
Je, kama Godless Lema hangetokea, Jeshi la Polisi lingeanza uchunguzi kwa kuwahoji waliokuwemo kwenye ndege, walioona tukio la kukamatwa?
 
Hilo tukio la kutekwa Kwa Mzee Kibao halikufanywa sirini, limefanywa mchana kweupe na hao watekaji Wala hawakuwa na hofu, kwa kuwa walimshusha toka Kwenye Bus la Tashriff, lililokuwa linaelekea Tanga, eneo la Tegeta Kibo complex.

Mashuhuda wa tukio Hilo la kutekwa Kwa Mzee Kibao na hatimaye kuteswa na kuuawa kinyama, walijitambulisha kama ni askari Polisi waliovaa kiraia.

Sasa kama kweli Jeshi letu la Polisi litakuwa "serious" kabla ya jioni ya leo, litakuwa limewakamata watu wote waliohusika na unyama wa hali ya juu wa kumteka Mzee wetu Kibao na baadaye kumpiga sana Hadi kumuua na kummwagia tindikali usoni Iii asitambulike.

- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo

Hao watekaji walikuwa na machine gun, pingu, vitu ambavyo ni katika vyombo vya usalama nchini, ambavyo wanavimiliki.

Bila shaka yoyote, mashuhuda waliziona hizo gari za watekaji, Kwa kuwa tukio lenyewe lilifanyika mchana kweupe Kwa hiyo wapo baadhi ya mashuhuda walizikopi "number plate" za magari hayo, Kwa hiyo itakuwa kazi rahisi kufuatilia ni nani mmiliki wa gari hizo.

Hata hivyo Ili uchunguzi huo usivurugwe tunamuomba Rais Samia, achukue hatua ya dharula ya kuwafuta kazi mara moja, IGP Wambura na Kamanda wa Polisi wa Kanda maalum ya Dar, afande Muliro, kwa kuwa kuendelea kuwepo kazini kwa maafandec hao kutavuruga uchunguzi wa tukio Hilo baya kabisa, Kwa kuwa wao Police ni "main suspects" wa huo utekaji.

Mungu ibariki Tanzania
Siku hizi kuna picha za satellite Serikali wakitaka kujua kuhusu hilo wanaweza.
Kumbekeni zama zile za Osama Bin Kaden alivyokuwa anafuatiliwa kwa njia ya satellite, rahisi zaidi ni mfumo wa mawasiliano hutunza kumbukimnu za mawasiliano
 
Hilo tukio la kutekwa Kwa Mzee Kibao halikufanywa sirini, limefanywa mchana kweupe na hao watekaji Wala hawakuwa na hofu, kwa kuwa walimshusha toka Kwenye Bus la Tashriff, lililokuwa linaelekea Tanga, eneo la Tegeta Kibo complex.

Mashuhuda wa tukio Hilo la kutekwa Kwa Mzee Kibao na hatimaye kuteswa na kuuawa kinyama, walijitambulisha kama ni askari Polisi waliovaa kiraia.

Sasa kama kweli Jeshi letu la Polisi litakuwa "serious" kabla ya jioni ya leo, litakuwa limewakamata watu wote waliohusika na unyama wa hali ya juu wa kumteka Mzee wetu Kibao na baadaye kumpiga sana Hadi kumuua na kummwagia tindikali usoni Iii asitambulike.

- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo

Hao watekaji walikuwa na machine gun, pingu, vitu ambavyo ni katika vyombo vya usalama nchini, ambavyo wanavimiliki.

Bila shaka yoyote, mashuhuda waliziona hizo gari za watekaji, Kwa kuwa tukio lenyewe lilifanyika mchana kweupe Kwa hiyo wapo baadhi ya mashuhuda walizikopi "number plate" za magari hayo, Kwa hiyo itakuwa kazi rahisi kufuatilia ni nani mmiliki wa gari hizo.

Hata hivyo Ili uchunguzi huo usivurugwe tunamuomba Rais Samia, achukue hatua ya dharula ya kuwafuta kazi mara moja, IGP Wambura na Kamanda wa Polisi wa Kanda maalum ya Dar, afande Muliro, kwa kuwa kuendelea kuwepo kazini kwa maafandec hao kutavuruga uchunguzi wa tukio Hilo baya kabisa, Kwa kuwa wao Police ni "main suspects" wa huo utekaji.

Mungu ibariki Tanzania
Jifunze kuona kifo ni jambo la kawaida.
 
Chadema kila mtu ni mjuzi wa Sheria,uchunguzi,biashara,upelelezi,haki za binadamu n.k.
 
Back
Top Bottom