Jeshi la Polisi liendelee kuwakamata wote wenye kuleta maneno ya Uchochezi na kuwatupa Ndani kwa mahojiano

Mwanasiasa lazima awe na ngozi ngumu!!!

Kugawa Bure Bandari zetu Kwa wageni ni tusi kubwa Kwa MWL NYERERE!!!

Angejua samia angekuja kugawa bandari, kamwe asingeongoza harakati za uhuru Kwa Nchi yetu nzuri.
 
Maandamano yaliyoruhusiwa ni ya amani siyo ya uhaini.
Unaujua uhaini wewe?

Mlimsingizia Mbowe ugaidi mkatuletea gaidi halisi kada wa CCCM hamza.

Leo mnamsingizia uhaini Mwambukusi uhaini, msijewaamsha wahaini halisi akina Okello!!!

Achaneni na dude la Bandari,

Wananchi wamelikataa!!!
 
Mwanasiasa lazima awe na ngozi ngumu!!!

Kugawa Bure Bandari zetu Kwa wageni ni tusi kubwa Kwa MWL NYERERE!!!

Angejua sa100 angekuja kugawa bandari, kamwe asingeongoza harakati za uhuru Kwa Nchi yetu nzuri.
Hoja iliyopo uzi huu umeiona?
 
Alisingiziwa na nani?
 
Bandari ipi na zipi zilizogawanywa kwa wageni?
 
Hoja iliyopo uzi huu umeiona?
Uoga tulishauvuka kitambo,

Mwanaume halisi haogopi, Hasa akiwa upande wa HAKI.

Wagawa bandari zetu Bure ndo wahaini.

Free Mwambukusi bila masharti yoyote.
 
Alisingiziwa na nani?
Alisingiziwa na sa100, akihojiwa BBC alidai ana ushahidi Mbowe alipanga ugaidi akiwa Dubei!!!

Hakuwahi kuthibitisha zaidi ya kumwita IKULU kupiga naye picha na kutundika kwenye mabango.
 
ngoja tuanze na wewe ,
 
Hiyo namba ya simu unayoiacha opens up your motive behind. Kweli umaskini ni adui mkubwa.
 
Mlisema serikali ya mama sio ya mabavu. Kumbe bora kipindi cha kikwete😂😂
 
Wewe ni mpuuzi
Wenzako tuko ccm kitambo lakini hatufurahishwi na baadhi ya mambo kandamizi
 
Huyu unayemsifu Erythrocyte ni mala ngapi anamtukana jpm? Acha ujinga wewe,kuna maada huwa nakupongeza,lkn si kwa huu ujinga wako unao utetea,mimi ni mwana ccm,lkn sikubaliani na wewe.
 
Naona umeweka na namba ya kutumiwa buku Saba yako😂😂😂
 
Wansnchi wote tumefurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…