RockCarnegie
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 962
- 1,930
Wengi walioko kwenye hivyo vyombo hasa viongozi wao ni mambumbumbuHivi nikwanini vyombo vya dola Tz vinakua kama taasisi za CCM ?
Mwaka huu mbele ya Tundu Lissu ccm haichomoki. Tuko na Mungu.Kadri Uchaguzi mkuu unavyaokaribia, ndivyo Jeshi la polisi linavyozidi kujinasibisha na Chama cha Mapinduzi, CCM!
Unyanyasaji wa wapinzani na matumizi ya wafungwa kenywe kazi za CCM ni ishara ya kuwa kura za Wananchi hazitaheshimiwa!
Kwa kuwa CCM hakiungwi mkono tena na umma bali ni mwanasesere aliyebebwa kwa mbeleleko ya chuma, Watanzania tusimame kwa pamoja na kwa umoja kulinda thamani ya kura zetu!
Tumkatae Jiwe na vikaragosi vyake kwa kupiga kwa wingi na kulinda ushindi.
Ushindi upo tayari, hapa ni kukamilisha mikakati ya hatua za kuwachukulia hawa viumbe pale watakapopora ushindi kama ambavyo wamezoea miaka yoteKadri Uchaguzi mkuu unavyaokaribia, ndivyo Jeshi la polisi linavyozidi kujinasibisha na Chama cha Mapinduzi, CCM!
Unyanyasaji wa wapinzani na matumizi ya wafungwa kenywe kazi za CCM ni ishara ya kuwa kura za Wananchi hazitaheshimiwa!
Kwa kuwa CCM hakiungwi mkono tena na umma bali ni mwanasesere aliyebebwa kwa mbeleleko ya chuma, Watanzania tusimame kwa pamoja na kwa umoja kulinda thamani ya kura zetu!
Tumkatae Jiwe na vikaragosi vyake kwa kupiga kwa wingi na kulinda ushindi.
Amini nawaambia wapinzani hii ndo hoja kuu ya kushikilia mwaka huu. Ni nguvu ya umma katika kulinda kura na kusimamia uhesabuji wa kura.Kadri Uchaguzi Mkuu unavyaokaribia, ndivyo Jeshi la Polisi linavyozidi kujinasibisha na Chama cha Mapinduzi, (CCM)
Kwa kuwa CCM hakiungwi mkono tena na umma bali ni mwanasesere aliyebebwa kwa mbeleleko ya chuma, Watanzania tusimame kwa pamoja na kwa umoja kulinda thamani ya kura zetu
Tumkatae Jiwe na vikaragosi vyake kwa kupiga kwa wingi na kulinda ushindi.
Hebu niambie ni kwanini nyinyi CCM mnaogopa uundwaji wa Tume huru ya uchaguzi kama vile unaambukizwa ugonjwa wa corona?Acha kuweweseka mnatafuta huruma ya Nani? Nyie mtaitwa wapinzani mpaka kiyama,kazi yenu Ni hii kulialia kulaumu kuropoka hovyo hovyo kupinga kila kitu,mnataka Nini zaidi ya hiki? Nyumbu nyie [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Hata ZANU-PF na KANU nazo zilikuwa taasisi pana sana, ni suala la muda tu.Hivi ni vichekesho,ikulu mtaiiskia tu,wananchi gani wa kuungana na genge la wahuni na waigizaji?
Hivi ninyi watu hamuelewi tu kuwa CCM ni taasisi pana sana ?
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kwahiyo sikweli aliyoyaandika?Acha kuweweseka mnatafuta huruma ya Nani? Nyie mtaitwa wapinzani mpaka kiyama,kazi yenu Ni hii kulialia kulaumu kuropoka hovyo hovyo kupinga kila kitu,mnataka Nini zaidi ya hiki? Nyumbu nyie [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Hasa linapokuja suala la tumboTatizo la watanzania wengi tu wanafiki
Tumuondoe Magufuli tumuweke nani?
[/QUOTE
Wengi tu Bora wapo